Makka
Sura Al-Aadiyat

Aya

11

Mahali iliteremshwa

Makka

SURAT AL-A'ADIYAAT

(Imeteremka Makka) 

Mwenyezi Mungu Mtukufu ameapa katika kifungulio cha Sura hii kwa farasi wa Jihadi, kwamba hakika mwanaadamu bila ya shaka ni mwingi wa kukufuru neema ya Mola wake Mlezi. Na kwamba juu ya hivyo katika Akhera bila ya shaka atakuwa n Jihadi, kwamba hakika mwanaadamu bila ya shaka ni mwingi wa kuikufuru neema ya kuyapenda mali ni bakhili na mwenye choyo juu yake. Na khatimaye ametaja khabar shahidi dhidi ya nafsi yake kwa aliyo kuwa nayo. Na kwamba bila ya shaka yeye kwa za kufufuliwa, na akazindua kuwa ipo hisabu na malipo.