Ingia
🚀 Jiunge na Changamoto yetu ya Ramadhani!
Jifunze zaidi
🚀 Jiunge na Changamoto yetu ya Ramadhani!
Jifunze zaidi
Ingia
Ingia
Taarifa ya Sura
010

Sura Yunus

Aya:

109

Mahali iliteremshwa:

Makka

Ali Muhsin Al-Barwani - Swahili Translation of Al-Muntakhab

SURAT YUNUS 

(Imeteremka Makka)

Sura hii ya Makka imeteremka Makka, na ina Aya 109. Imeanzia kuashiria cheo cha Kitabu hiki Kitukufu, na wasemayo washirikina yaliyo mkhusu Nabii s.a.w. Kisha ikataja ulimwengu na ishara za Mwenyezi Mungu Mtukufu ziliomo humo, na malipo ya Siku ya Kiyama, na mwendo wa Mwenyezi Mungu Mtukufu kuwatendea makafiri, na kuwakemea kwake kwa hizo itikadi zao, na hali ya watu wakati wa shida na neema, na uwezo wa Mwenyezi Mungu juu ya kila kitu, na kulemewa masanamu kufanya lolote. 

Na katika Sura hii wanatakiwa kama wanaweza makafiri walete Sura japo moja ya kuzua. Na pia ndani yake kuna vitisho vikali vya adhabu ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, na hali za nafsi za watu, na vipi Mwenyezi Mungu anavyo vichunguza vitendo vyao. Kisha baada ya hayo ikaingia kumwondolea Nabii s.a.w. kuungulika kwake kwa ukafiri wao, pamoja na kutoa hoja ya kuwavunja kabisa, na ikampoza kwa kumtajia hadithi za Manabii wengine na kaumu zao. Ikaja hadithi ya Nuhu, na hadithi ya Musa na Harun na Firauni na Wana wa Israili; kisha ikaashiriwa hadithi ya Yunus, na kwa jina hilo Sura hii ikaitwa. Na mwisho ikaelekea Sura hii kubainisha mambo ya Mtume huyu ili kutimiza mawaidha na mazingatio.

He has revealed to you ËąO ProphetËş the Book in truth, confirming what came before it, as He revealed the Torah and the Gospel
— Dr. Mustafa Khattab, the Clear Quran
Notes placeholders
Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu

Ayatul Kursi

Yaseen

Al Mulk

Ar-Rahman

Al Waqi'ah

Al Kahf

Al Muzzammil

Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa