
Abdul Rahman Ibn Abdul Aziz as-Sudais (عبد الرحمن السديس) alizaliwa katika mji wa Qassim, Saudi Arabia mwaka 1962 (1382 H). Asili yake ni kutoka ukoo wa Anza. Alihifadhi Qur’ani akiwa na umri wa miaka 12, alipokulia Riyadh.Al-Sudais alisoma katika Shule ya Msingi ya Al Muthana Bin Harith, kisha katika Taasisi ya Sayansi ya Riyadh, ambako alihitimu mwaka 1979 kwa daraja la bora. Alipata shahada ya
...Zaidi