
Sheikh Mishary bin Rashid Al-Afasy au Mishary Rashid Ghareeb Mohammed Rashed Al-Afasy ni Qari mashuhuri kimataifa kutoka Kuwait; alizaliwa Kuwait tarehe 5 Septemba 1976 (Jumapili, 11 Ramadhani 1396 H).Alisoma katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Madinah, Kitivo cha Qur’ani, akibobea katika qira’a kumi na tafsiri ya Qur’ani Tukufu.Amesoma Qur’ani kwa Mashaykh Ahmed Abdulaziz Al-Zaiat, Ibrahim Ali Sha
...Zaidi