
Shaykh Bandar Abdul Azeez Baleela alizaliwa Makkah mwaka 1975 na ni Imamu mashuhuri wa Masjid al-Haram (Msikiti Mtakatifu wa Makkah). Alahitimu kutoka Chuo Kikuu cha Umm al-Qura huko Makkah na Chuo Kikuu cha Madinah. Mwaka 2001 alipata shahada yake ya fiqhi ya Kiislamu kutoka Kitivo cha Shari’a cha Chuo Kikuu cha Umm al-Qura. Baadaye aliendeleza masomo, akapata shahada ya uzamivu (PhD) katika fiqh
...Zaidi