Soma na usikilize Sura Ibrahim pamoja na tarjuma yake, tafsir, usomaji wa sauti, maana ya neno kwa neno, na unukuzi pia. Tarjuma ya Ali Muhsin Al-Barwani.
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
Alif Lam Ra. (A.L.R.) Hichi ni Kitabu tulicho kiteremsha kwako ili uwatowe watu kwenye giza uwapeleke kwenye muwangaza, kwa idhini ya Mola wao Mlezi, uwafikishe kwenye Njia ya Mwenye nguvu, Msifiwa! 1