Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
Notes placeholders
Mpendwa Sahaba wa Quran,
Tumejitolea kutumikia ulimwengu kupitia elimu ya Qur'ani pamoja na teknolojia, bila malipo.
Fursa nzuri ya kutoa sadaka endelevu (Sadaqa Jariyah). Wekeza katika Akhera yako kama mfadhili wa kila mwezi (au mara moja).