Isipo kuwa Mwenyezi Mungu akipenda. Na mkumbuke Mola wako Mlezi pale unapo sahau, na sema: Asaa Mola wangu Mlezi ataniongoa kwenye uwongozi ulio karibu zaidi kuliko huu.
–Sura Al-Kahf [18:24]
اشرح لي صدري ٢٥ ويسر لي امري ٢٦ واحلل عقدة من لساني ٢٧ يفقهوا قولي ٢٨
(Musa) akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Nikunjulie kifua changu, (25) Na unifanyie nyepesi kazi yangu, (26) Na ulifungue fundo lililo katika ulimi wangu, (27) Wapate kufahamu maneno yangu. (28)
–Sura Taha [20:25-28]
زدني علما ١١٤
زِدْنِى عِلْمًۭا ١١٤
زِدۡنِي
عِلۡمٗا
١١٤
Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki. Wala usiifanyie haraka hii Qur'ani, kabla haujamalizika ufunuo wake. Na sema: Mola wangu Mlezi! Nizidishie ilimu.