Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Rudi kwenye kitufe cha Gundua

Prophet Ilyas in the Quran

Prophet Ilyas in the Quran
وان الياس لمن المرسلين ١٢٣ اذ قال لقومه الا تتقون ١٢٤ اتدعون بعلا وتذرون احسن الخالقين ١٢٥ الله ربكم ورب ابايكم الاولين ١٢٦ فكذبوه فانهم لمحضرون ١٢٧ الا عباد الله المخلصين ١٢٨ وتركنا عليه في الاخرين ١٢٩ سلام على ال ياسين ١٣٠ انا كذالك نجزي المحسنين ١٣١ انه من عبادنا المومنين ١٣٢
وَإِنَّ إِلْيَاسَ لَمِنَ ٱلْمُرْسَلِينَ ١٢٣ إِذْ قَالَ لِقَوْمِهِۦٓ أَلَا تَتَّقُونَ ١٢٤ أَتَدْعُونَ بَعْلًۭا وَتَذَرُونَ أَحْسَنَ ٱلْخَـٰلِقِينَ ١٢٥ ٱللَّهَ رَبَّكُمْ وَرَبَّ ءَابَآئِكُمُ ٱلْأَوَّلِينَ ١٢٦ فَكَذَّبُوهُ فَإِنَّهُمْ لَمُحْضَرُونَ ١٢٧ إِلَّا عِبَادَ ٱللَّهِ ٱلْمُخْلَصِينَ ١٢٨ وَتَرَكْنَا عَلَيْهِ فِى ٱلْـَٔاخِرِينَ ١٢٩ سَلَـٰمٌ عَلَىٰٓ إِلْ يَاسِينَ ١٣٠ إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجْزِى ٱلْمُحْسِنِينَ ١٣١ إِنَّهُۥ مِنْ عِبَادِنَا ٱلْمُؤْمِنِينَ ١٣٢

وَإِنَّ
إِلۡيَاسَ
لَمِنَ
ٱلۡمُرۡسَلِينَ
١٢٣
إِذۡ
قَالَ
لِقَوۡمِهِۦٓ
أَلَا
تَتَّقُونَ
١٢٤
أَتَدۡعُونَ
بَعۡلٗا
وَتَذَرُونَ
أَحۡسَنَ
ٱلۡخَٰلِقِينَ
١٢٥
ٱللَّهَ
رَبَّكُمۡ
وَرَبَّ
ءَابَآئِكُمُ
ٱلۡأَوَّلِينَ
١٢٦
فَكَذَّبُوهُ
فَإِنَّهُمۡ
لَمُحۡضَرُونَ
١٢٧
إِلَّا
عِبَادَ
ٱللَّهِ
ٱلۡمُخۡلَصِينَ
١٢٨
وَتَرَكۡنَا
عَلَيۡهِ
فِي
ٱلۡأٓخِرِينَ
١٢٩
سَلَٰمٌ
عَلَىٰٓ
إِلۡ يَاسِينَ
١٣٠
إِنَّا
كَذَٰلِكَ
نَجۡزِي
ٱلۡمُحۡسِنِينَ
١٣١
إِنَّهُۥ
مِنۡ
عِبَادِنَا
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
١٣٢

Na hakika Ilyas bila ya shaka alikuwa miongoni mwa Mitume. (123) Alipo waambia watu wake: Hamwogopi? (124) Mnamwomba Baa'li na mnamwacha Mbora wa waumbaji, (125) Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu na Mola Mlezi wa baba zenu wa zamani? (126) Wakamkadhibisha. Basi kwa hakika watahudhurishwa; (127) Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio safishwa. (128) Na tumemwachia (sifa nzuri) kwa walio kuja baadaye. (129) Iwe salama kwa Ilyas. (130) Hakika hivyo ndivyo tunavyo walipa walio wema. (131) Hakika yeye ni katika waja wetu walio amini. (132)
–Sura As-Saffat [37:123-132]

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu

Ayatul Kursi

Yaseen

Al Mulk

Ar-Rahman

Al Waqi'ah

Al Kahf

Al Muzzammil

Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia