Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Rudi kwenye kitufe cha Gundua

Dua of Prophet Yunus: La Ilaha Illa Anta Subhanaka

Dua of Prophet Yunus: La Ilaha Illa Anta Subhanaka
الاه الا انت سبحانك اني كنت من الظالمين ٨٧
إِلَـٰهَ إِلَّآ أَنتَ سُبْحَـٰنَكَ إِنِّى كُنتُ مِنَ ٱلظَّـٰلِمِينَ ٨٧

إِلَٰهَ
إِلَّآ
أَنتَ
سُبۡحَٰنَكَ
إِنِّي
كُنتُ
مِنَ
ٱلظَّٰلِمِينَ
٨٧

Na Dhun-Nun alipoondoka hali ameghadhibika, na akadhani ya kwamba hatutakuwa na uwezo juu yake. Basi aliita katika giza: Hapana mungu isipo kuwa Wewe Subhanaka Uliye takasika. Hakika mimi nilikuwa miongoni mwa wenye kudhulumu.
–Sura Al-Anbya [21:87]
وان يونس لمن المرسلين ١٣٩ اذ ابق الى الفلك المشحون ١٤٠ فساهم فكان من المدحضين ١٤١ فالتقمه الحوت وهو مليم ١٤٢ فلولا انه كان من المسبحين ١٤٣ للبث في بطنه الى يوم يبعثون ١٤٤ ۞ فنبذناه بالعراء وهو سقيم ١٤٥ وانبتنا عليه شجرة من يقطين ١٤٦ وارسلناه الى ماية الف او يزيدون ١٤٧ فامنوا فمتعناهم الى حين ١٤٨
وَإِنَّ يُونُسَ لَمِنَ ٱلْمُرْسَلِينَ ١٣٩ إِذْ أَبَقَ إِلَى ٱلْفُلْكِ ٱلْمَشْحُونِ ١٤٠ فَسَاهَمَ فَكَانَ مِنَ ٱلْمُدْحَضِينَ ١٤١ فَٱلْتَقَمَهُ ٱلْحُوتُ وَهُوَ مُلِيمٌۭ ١٤٢ فَلَوْلَآ أَنَّهُۥ كَانَ مِنَ ٱلْمُسَبِّحِينَ ١٤٣ لَلَبِثَ فِى بَطْنِهِۦٓ إِلَىٰ يَوْمِ يُبْعَثُونَ ١٤٤ ۞ فَنَبَذْنَـٰهُ بِٱلْعَرَآءِ وَهُوَ سَقِيمٌۭ ١٤٥ وَأَنْبَتْنَا عَلَيْهِ شَجَرَةًۭ مِّن يَقْطِينٍْ ١٤٦ وَأَرْسَلْنَـٰهُ إِلَىٰ مِاْئَةِ أَلْفٍ أَوْ يَزِيدُونَ ١٤٧ فَـَٔامَنُواْ فَمَتَّعْنَـٰهُمْ إِلَىٰ حِينٍْ ١٤٨

وَإِنَّ
يُونُسَ
لَمِنَ
ٱلۡمُرۡسَلِينَ
١٣٩
إِذۡ
أَبَقَ
إِلَى
ٱلۡفُلۡكِ
ٱلۡمَشۡحُونِ
١٤٠
فَسَاهَمَ
فَكَانَ
مِنَ
ٱلۡمُدۡحَضِينَ
١٤١
فَٱلۡتَقَمَهُ
ٱلۡحُوتُ
وَهُوَ
مُلِيمٞ
١٤٢
فَلَوۡلَآ
أَنَّهُۥ
كَانَ
مِنَ
ٱلۡمُسَبِّحِينَ
١٤٣
لَلَبِثَ
فِي
بَطۡنِهِۦٓ
إِلَىٰ
يَوۡمِ
يُبۡعَثُونَ
١٤٤
۞ فَنَبَذۡنَٰهُ
بِٱلۡعَرَآءِ
وَهُوَ
سَقِيمٞ
١٤٥
وَأَنۢبَتۡنَا
عَلَيۡهِ
شَجَرَةٗ
مِّن
يَقۡطِينٖ
١٤٦
وَأَرۡسَلۡنَٰهُ
إِلَىٰ
مِاْئَةِ
أَلۡفٍ
أَوۡ
يَزِيدُونَ
١٤٧
فَـَٔامَنُواْ
فَمَتَّعۡنَٰهُمۡ
إِلَىٰ
حِينٖ
١٤٨

Na hakika Yunus alikuwa miongoni mwa Mitume. (139) Alipo kimbia katika jahazi lilio sheheni. (140) Akaingia katika kupigiwa kura, na akawa katika walio shindwa. (141) Samaki akammeza hali ya kuwa ni mwenye kulaumiwa. (142) Na ingeli kuwa hakuwa katika wanao mtakasa Mwenyezi Mungu, (143) Bila ya shaka angeli kaa ndani yake mpaka siku ya kufufuliwa. (144) Lakini tulimtupa ufukweni patupu, hali yu mgonjwa. (145) Na tukauotesha juu yake mmea wa kabila ya mung'unye. (146) Na tulimtuma kwa watu laki moja au zaidi. (147) Basi wakaamini, na tukawastarehesha kwa muda. (148)
–Sura As-Saffat [37:139-148]

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu

Ayatul Kursi

Yaseen

Al Mulk

Ar-Rahman

Al Waqi'ah

Al Kahf

Al Muzzammil

Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia