Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Ar-Rahman 55:40 فباي الاء ربكما تكذبان ٤٠

Ukurasa 532 · Juzuu 27

فَبِأَيِّ
ءَالَآءِ
رَبِّكُمَا
تُكَذِّبَانِ
٤٠
Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayoikanusha?
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Horrors of the Day of Resurrection

Allah said,

فَإِذَا انشَقَّتِ السَّمَآءُ

(Then when the heaven is rent asunder,) on the Day of Resurrection; this meaning is clear in this and similar Ayat, such as,

وَانشَقَّتِ السَّمَآءُ فَهِىَ يَوْمَئِذٍ وَاهِيَةٌ

(And the heaven will be rent asunder, for that D

…

The Horrors of the Day of Resurrection

Allah said,

فَإِذَا انشَقَّتِ السَّمَآءُ

(Then when the heaven is rent asunder,) on the Day of Resurrection; this

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

26. Kila kilichoko juu yake kitatoweka. 27. Na utabakia uso wa Mola wako Mlezi, wenye utukufu na ukarimu. 28. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayoikanusha? 29. Vinamwomba Yeye vilivyo katika mbingu na ardhi. Kila siku Yeye yumo katika mambo. 30. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayoikanusha? 31. Tutakufanyieni hesabu enyi makundi mawili. 32. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayoikanusha? 33. Enyi makundi ya majini na watu! Mkiweza kupenya kwenye mbingu na ardhi, basi penyeni! Hamtapenya ila kwa kupewa mamlaka. 34. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayoikanusha? 35. Mtatumiwa muwako wa moto na shaba; wala hamtashinda. 36. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayoikanusha? 37. Itakapopasuka mbingu ikawa nyekundu kama mafuta. 38. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayoikanusha? 39. Basi Siku hiyo hataulizwa dhambi zake mtu wala jini. 40. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayoikanusha? 41. Watajuulikana wahalifu kwa alama zao, basi watashikwa kwa nywele zao za utosini na kwa miguu. 42. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayoikanusha? 43. Hii ndiyo Jahannamu ambayo wahalifu walikuwa wakiikanusha. 44. Watakuwa wakizunguka baina ya hiyo na maji ya moto yanayochemka. 45. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayoikanusha?

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia