🎯 Endelea kufuatilia!
Unda Lengo Langu
🎯 Endelea kufuatilia!
Unda Lengo Langu
Ingia
Ingia

Msaada na Maoni

Tafadhali angalia FAQ ili kuona kama swali lako tayari limejibiwa. Ikihitajika unaweza kuwasiliana nasi na tutafanya tuwezavyo ili kuwasiliana nawe haraka iwezekanavyo, lakini tuwie radhi kwani sisi ni timu ndogo na kwa hivyo tunakuomba utufahamu.

Je, ninaweza kupakua Quran.com kwenye kompyuta yangu?

Kwa bahati mbaya, hapana. Hatutoi utendaji wa kupakua tovuti yetu au Qur'ani kwenye kompyuta yako kwa sasa. Hata hivyo, unaweza kusakinisha programu yetu ya simu kwa usomaji wa nje ya mtandao.

Je, ninaweza kuvinjari tovuti katika lugha nyingine?

Ili kubadilisha lugha unayopendelea, kuna menyu kunjuzi kwenye kona ya juu kulia kwenye kila ukurasa (kona ya juu kushoto kwenye lugha za kuandikwa kutoka kulia kwenda kushoto). Tumia menyu kunjuzi hii kuchagua lugha unayopendelea.

Nimepata hitilafu ya tarjuma, ninaiwasilisha wapi?

Tafadhali ripoti hitilafu hii hapa na tutairekebisha kwa haraka iwezekanavyo inshAllah.

Tovuti haifanyi kazi, nitakuambiaje?

Hiyo si nzuri! Ikiwa tovuti haifanyi kazi kabisa au labda unaona skrini nyeupe yenye maandishi 'Samahani, hitilafu imetokea', tutashukuru ikiwa unaweza kuripoti hapa .

Mimi ni msanidi programu. Ninawezaje kuchangia?

Tafadhali angalia ukurasa wa wasanidi kwa maelezo zaidi.

Je, Tafsir inapatikana?

Ndiyo, tunazo baadhi ya Tafsir. Bofya kwenye ikoni iliyoonyeshwa kando ya kila aya, kisha ubofye tafisr. Programu itakuonyesha orodha ya tafsir zinazopatikana. Bonyeza tafsir unayotaka kusoma.

Ongeza tarjuma nyingine

Fungua toleo jipya hapa lenye maelezo yote, kiungo cha tarjuma na tutajaribu tuwezavyo kuliongeza.

Kuongeza wasomaji zaidi

Wasilisha maelezo zaidi kuhusu msomaji huyu hapa

Je, Quran.com ina programu ya simu?

Ndiyo! Tafadhali tembelea Quran kwa Android au Quran iOS ili kupakua Programu

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu

Ayatul Kursi

Yaseen

Al Mulk

Ar-Rahman

Al Waqi'ah

Al Kahf

Al Muzzammil

Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa