Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

An-Naziat 79:15 هل اتاك حديث موسى ١٥

Ukurasa 583 · Juzuu 30

هَلۡ
أَتَىٰكَ
حَدِيثُ
مُوسَىٰٓ
١٥
Je! Imekufikia hadithi ya Musa?
reading-goal:continue-reading

Soma q-and-a.tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Mentioning the Story of Musa and that it is a Lesson for Those Who fear Allah

Allah informs His Messenger Muhammad ﷺ about His Messenger Musa. He mentions that he sent Musa to Fir`awn and He aided him with miracles. Yet, even after this, Fir`awn continued in his disbelief and transgression until Alla

…

Mentioning the Story of Musa and that it is a Lesson for Those Who fear Allah

Allah informs His Messenger Muhammad ﷺ about His Messenger Musa. He menti

…
Tazama tafsirs

Soma related-content

15. Je! Imekufikia hadithi ya Musa? 16. Mola wake Mlezi alipomwita katika bonde takatifu la Tuwaa, akamwambia: 17. Nenda kwa Firauni. Hakika yeye amezidi jeuri. 18. Umwambie: Je! Unapenda kujitakasa? 19. Nami nitakuongoza ufike kwa Mola wako Mlezi, upate kumcha. 20. Basi alimwonyesha Ishara kubwa. 21. Lakini alikadhibisha na akaasi. 22. Kisha alirudi nyuma, akaingia kufanya juhudi. 23. Akakusanya watu akanadi. 24. Akasema: Mimi ndiye Mola wenu Mlezi mkuu kabisa. 25. Basi hapo Mwenyezi Mungu akamshika kumuadhibu kwa la mwisho na la mwanzo. 26. Kwa hakika katika haya yapo mazingatio kwa wanaoogopa Mwenyezi Mungu.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

reading-goal:continue-reading

Maelezo na Tafakari

reflection-not-available

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia