Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

68. Sura Al-Qalam

Soma na usikilize Sura Al-Qalam nzima (Sura 68), inayojumuisha aya 52. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 29), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
68:20
فاصبحت كالصريم ٢٠
فَأَصْبَحَتْ كَٱلصَّرِيمِ ٢٠
فَأَصۡبَحَتۡ
كَٱلصَّرِيمِ
٢٠
Likawa kama usiku wa giza. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
68:21
فتنادوا مصبحين ٢١
فَتَنَادَوْا۟ مُصْبِحِينَ ٢١
فَتَنَادَوۡاْ
مُصۡبِحِينَ
٢١
Asubuhi wakaitana. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
68:22
ان اغدوا على حرثكم ان كنتم صارمين ٢٢
أَنِ ٱغْدُوا۟ عَلَىٰ حَرْثِكُمْ إِن كُنتُمْ صَـٰرِمِينَ ٢٢
أَنِ
ٱغۡدُواْ
عَلَىٰ
حَرۡثِكُمۡ
إِن
كُنتُمۡ
صَٰرِمِينَ
٢٢
Ya kwamba nendeni kondeni mwenu ikiwa mnataka kuvuna. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
68:23
فانطلقوا وهم يتخافتون ٢٣
فَٱنطَلَقُوا۟ وَهُمْ يَتَخَـٰفَتُونَ ٢٣
فَٱنطَلَقُواْ
وَهُمۡ
يَتَخَٰفَتُونَ
٢٣
Basi walikwenda na huku wakinong'onezana, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
68:24
ان لا يدخلنها اليوم عليكم مسكين ٢٤
أَن لَّا يَدْخُلَنَّهَا ٱلْيَوْمَ عَلَيْكُم مِّسْكِينٌۭ ٢٤
أَن
لَّا
يَدۡخُلَنَّهَا
ٱلۡيَوۡمَ
عَلَيۡكُم
مِّسۡكِينٞ
٢٤
Ya kuwa leo hata masikini mmoja asikuingilieni. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
68:25
وغدوا على حرد قادرين ٢٥
وَغَدَوْا۟ عَلَىٰ حَرْدٍۢ قَـٰدِرِينَ ٢٥
وَغَدَوۡاْ
عَلَىٰ
حَرۡدٖ
قَٰدِرِينَ
٢٥
Na walikwenda asubuhi, nao wameshikilia azimio hilo. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
68:26
فلما راوها قالوا انا لضالون ٢٦
فَلَمَّا رَأَوْهَا قَالُوٓا۟ إِنَّا لَضَآلُّونَ ٢٦
فَلَمَّا
رَأَوۡهَا
قَالُوٓاْ
إِنَّا
لَضَآلُّونَ
٢٦
Basi walipo liona, wakasema: Hakika tumepotea! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
68:27
بل نحن محرومون ٢٧
بَلْ نَحْنُ مَحْرُومُونَ ٢٧
بَلۡ
نَحۡنُ
مَحۡرُومُونَ
٢٧
Bali tumenyimwa! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
68:28
قال اوسطهم الم اقل لكم لولا تسبحون ٢٨
قَالَ أَوْسَطُهُمْ أَلَمْ أَقُل لَّكُمْ لَوْلَا تُسَبِّحُونَ ٢٨
قَالَ
أَوۡسَطُهُمۡ
أَلَمۡ
أَقُل
لَّكُمۡ
لَوۡلَا
تُسَبِّحُونَ
٢٨
Mbora wao akasema: Sikukwambieni, kwa nini hamumtakasi Mwenyezi Mungu? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
68:29
قالوا سبحان ربنا انا كنا ظالمين ٢٩
قَالُوا۟ سُبْحَـٰنَ رَبِّنَآ إِنَّا كُنَّا ظَـٰلِمِينَ ٢٩
قَالُواْ
سُبۡحَٰنَ
رَبِّنَآ
إِنَّا
كُنَّا
ظَٰلِمِينَ
٢٩
Wakasema: Ametakasika Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tulikuwa wenye kudhulumu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: Al-HaqqahTafsir ya Sura Al-Qalam

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia