Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Inshiqaq 84:22 بل الذين كفروا يكذبون ٢٢

Ukurasa 589 · Juzuu 30

بَلِ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
يُكَذِّبُونَ
٢٢
Bali walio kufuru wanakanusha tu. 1
reading-goal:continue-reading

Soma q-and-a.tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Swearing by the Various Stages of Man's Journey

It has been reported from `Ali, Ibn `Abbas, `Ubadah bin As-Samit, Abu Hurayrah, Shaddad bin Aws, Ibn `Umar, Muhammad bin `Ali bin Al-Husayn, Makhul, Bakr bin `Abdullah Al-Muzani, Bukayr bin Al-Ashaj, Malik, Ibn Abi Dhi'b, and `Abdul-`Aziz bin Abi Salama

…

Swearing by the Various Stages of Man's Journey

It has been reported from `Ali, Ibn `Abbas, `Ubadah bin As-Samit, Abu Hurayrah, Shaddad bin Aws, Ibn `U

…
Tazama tafsirs

Soma related-content

16. Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa, 17. Na kwa usiku na unavyo vikusanya, 18. Na kwa mwezi unapo pevuka, 19. Lazima mtapanda t'abaka kwa t'abaka! 20. Basi wana nini hawaamini? 21. Na wanapo somewa Qur'ani hawasujudu? 22. Bali walio kufuru wanakanusha tu. 23. Na Mwenyezi Mungu anajua wanayo yadhamiria. 24. Basi wabashirie adhabu chungu! 25. Isipo kuwa wale walio amini na wakatenda mema; hao watakuwa na ujira usio malizika.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

reading-goal:continue-reading

Maelezo na Tafakari

reflection-not-available

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia