Al-Jathiyah 45:27 — Swahili Translation ولله ملك السماوات والارض ويوم تقوم الساعة يوميذ يخسر المبطلون ٢٧
وَلِلَّهِ
مُلۡكُ
ٱلسَّمَٰوَٰتِ
وَٱلۡأَرۡضِۚ
وَيَوۡمَ
تَقُومُ
ٱلسَّاعَةُ
يَوۡمَئِذٖ
يَخۡسَرُ
ٱلۡمُبۡطِلُونَ
٢٧
Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Na siku itapo simama Saa ya Kiyama, siku hiyo wataangamia wenye kushikamana na upotovu. 1