Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Yunus 10:77 قال موسى اتقولون للحق لما جاءكم اسحر هاذا ولا يفلح الساحرون ٧٧

Ukurasa 217 · Juzuu 11

قَالَ
مُوسَىٰٓ
أَتَقُولُونَ
لِلۡحَقِّ
لَمَّا
جَآءَكُمۡۖ
أَسِحۡرٌ
هَٰذَا
وَلَا
يُفۡلِحُ
ٱلسَّٰحِرُونَ
٧٧
Akasema Musa, "Je, mnasema hivi juu ya haki ilipowajia? Je, huu ni uchawi? Na wachawi hawafanikiwi!"
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Story of Musa and Fira`wn

Allah said:

ثُمَّ بَعَثْنَا

(Then after them We sent ) meaning ofter these Messengers,

مُّوسَى وَهَرُونَ إِلَى فِرْعَوْنَ وَمَلَئِهِ

(Musa and Harun to Fir`awn and his chiefs,) meaning his people

بَِايَتِنَآ

(with Our Ayat.) meaning; `Our proofs and evidences.'

فَاسْتَكْبَر
…

The Story of Musa and Fira`wn

Allah said:

ثُمَّ بَعَثْنَا

(Then after them We sent ) meaning ofter these Messengers,

مُّوسَى وَهَرُونَ إِلَى فِرْعَوْنَ
…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

74. Kisha baada yake tukawatuma Mitume kwa kaumu zao. Nao wakawajia kwa Ishara zilizo wazi. Lakini hawakuwa wenye kuyaamini wale waliyoyakanusha kabla yake. Hivyo ndivyo tunavyoziziba nyoyo za wavukao mipaka. 75. Kisha baada yao tukamtuma Musa na Haruni kwa Firauni na waheshimiwa wake, kwa Ishara zetu. Wakatakabari, na wakawa kaumu wahalifu. 76. Basi ilipowajia haki kutoka kwetu, walisema: Hakika huu ni uchawi ulio dhahiri. 77. Akasema Musa, "Je, mnasema hivi juu ya haki ilipowajia? Je, huu ni uchawi? Na wachawi hawafanikiwi!" 78. Wakasema: Je, umetujia ili utuachishe tuliyowakuta nayo baba zetu, na mpate nyinyi wawili ukubwa katika ardhi? Wala sisi hatuwaamini nyinyi. 79. Na Firauni akasema: Nileteeni kila mchawi ajuaye zaidi! 80. Basi walipokuja wachawi hao, Musa akawaambia: Vitupeni mnavyovitupa! 81. Basi walipotupa, Musa akasema: Mliyoleta ndiyo uchawi. Hakika Mwenyezi Mungu ataubatilisha. Hakika Mwenyezi Mungu hayatengenezi matendo ya waharibifu. 82. Na Mwenyezi Mungu huihakikisha haki kwa maneno yake, hata wakichukia wahalifu.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia