Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Yasyn 36:50 فلا يستطيعون توصية ولا الى اهلهم يرجعون ٥٠

Ukurasa 443 · Juzuu 23

فَلَا
يَسۡتَطِيعُونَ
تَوۡصِيَةٗ
وَلَآ
إِلَىٰٓ
أَهۡلِهِمۡ
يَرۡجِعُونَ
٥٠
Basi hawataweza kuusia, wala kwa watu wao hawarejei.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Disbelievers thought that the Day of Resurrection would never come to pass

Allah tells us how the disbelievers thought that the Day of Resurrection would never come to pass, as they said:

مَتَى هَذَا الْوَعْدُ

("When will this promise be fulfilled...")

يَسْتَعْجِلُ بِهَا الَّذِينَ لاَ يُؤْمِنُونَ بِ
…

The Disbelievers thought that the Day of Resurrection would never come to pass

Allah tells us how the disbelievers thought that the Day of Resurrection

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

41. Na ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia dhuria zao katika jahazi lililosheheni. 42. Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyovipanda. 43. Na tukitaka, tunawazamisha, wala hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi. 44. Isipokuwa kwa rehema zitokazo kwetu na starehe kwa muda. 45. Na wanapoambiwa: Jilindeni kutokana na yaliyoko mbele yenu na yaliyoko nyuma yenu, ili mpate kurehemewa... 46. Na haiwafikii Ishara yoyote katika Ishara za Mola wao Mlezi isipokuwa wao huwa ni wenye kuipa mgongo. 47. Na wanapoambiwa: "Toeni katika aliyokupeni Mwenyezi Mungu", wale waliokufuru huwaambia wale walioamini: Je, tuwalishe wale ambao Mwenyezi Mungu angependa angeliwalisha mwenyewe? Nyinyi hammo isipokuwa katika upotovu ulio dhahiri. 48. Na wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa nyinyi ni wakweli? 49. Hawangojei isipokuwa ukelele mmoja tu utakaowachukua nao wamo kuzozana. 50. Basi hawataweza kuusia, wala kwa watu wao hawarejei.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia