Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Nuh 71:20 لتسلكوا منها سبلا فجاجا ٢٠

Ukurasa 571 · Juzuu 29

لِّتَسۡلُكُواْ
مِنۡهَا
سُبُلٗا
فِجَاجٗا
٢٠
Ili mtembee humo katika njia zilizo pana.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Nuh complains about his Encounter with His People

Allah tells about His servant and Messenger, Nuh, and that he complained to his Lord about the response he received from his people, and how he was patient with them for this long period of time -- which was nine hundred and fifty years. He complaine

…

Nuh complains about his Encounter with His People

Allah tells about His servant and Messenger, Nuh, and that he complained to his Lord about the respo

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

5. Akasema: Ee Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nimewaita watu wangu usiku na mchana. 6. Lakini wito wangu haukuwazidisha ila kukimbia. 7. Na hakika mimi kila nilipowaita ili upate kuwaghufiria, walijiziba masikio yao kwa vidole vyao, na wakajigubika nguo zao, na wakakamia, na wakatakabari vikubwa mno! 8. Tena niliwaita kwa uwazi. 9. Kisha nikawatangazia hadharani, tena nikasema nao kwa siri. 10. Nikasema: Ombeni msamaha kwa Mola wenu Mlezi; hakika Yeye ni Mwingi wa kusamehe. 11. Atakuleteeni mvua inyeshe mfululizo. 12. Na atakupeni mali na wana, na atakupeni mabustani na atakufanyieni mito. 13. Mna nini hamweki heshima ya Mwenyezi Mungu? 14. Na hali Yeye kakuumbeni daraja baada ya daraja? 15. Kwani hamwoni jinsi Mwenyezi Mungu alivyoziumba mbingu saba kwa matabaka? 16. Na akaufanya mwezi ndani yake uwe nuru, na akalifanya jua kuwa taa? 17. Na Mwenyezi Mungu amekuotesheni katika ardhi kama mimea. 18. Kisha atakurudisheni humo na atakutoeni tena. 19. Na Mwenyezi Mungu amekukunjulieni ardhi kama busati. 20. Ili mtembee humo katika njia zilizo pana.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia