Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Maryam 19:86 ونسوق المجرمين الى جهنم وردا ٨٦

Ukurasa 311 · Juzuu 16

وَنَسُوقُ
ٱلۡمُجۡرِمِينَ
إِلَىٰ
جَهَنَّمَ
وِرۡدٗا
٨٦
Na tukawaswaga wahalifu kwenda katika Jahannamu hali ya kuwa wana kiu.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Condition of the Righteous and the Criminals on the Day of Resurrection

Allah, the Exalted, informs about His righteous friends, who feared Him in the life of this world. They followed His Messengers and believed in what the Messengers told them. They obeyed them in what they commanded them and a

…

The Condition of the Righteous and the Criminals on the Day of Resurrection

Allah, the Exalted, informs about His righteous friends, who feared Him in

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

83. Kwani huoni ya kwamba tuliwatuma mashetani kwa makafiri wawachochee sawasawa? 84. Basi usiwafanyie haraka. Sisi tunawahesabia idadi ya siku zao. 85. Siku tutakayowakusanya wacha Mungu kuwapeleka kwa Arrahmani (Mwingi wa rehema) kuwa ni wageni wake. 86. Na tukawaswaga wahalifu kwenda katika Jahannamu hali ya kuwa wana kiu. 87. Hawatakuwa na mamlaka ya uombezi isipokuwa yule aliyechukua ahadi kwa Arrahmani (Mwingi wa rehema). 88. Na wao ati walisema kuwa Arrahmani (Mwingi wa rehema) alijifanyia mwana! 89. Hakika mmeleta jambo la kuchusha mno! 90. Zinakaribia mbingu kulipuka kwa hilo, na ardhi kupasuka, na milima kuanguka vipande vipande. 91. Kwa kudai kwao kuwa Arrahmani (Mwingi wa rehema) ana mwana. 92. Wala Arrahmani (Mwingi wa rehema) hafailii kujichukulia mwana. 93. Hakuna yeyote aliyemo mbinguni na ardhini isipokuwa atamjia Arrahmani (Mwingi wa rehema) kuwa ni mja wake. 94. Yeye hakika amewadhibiti na amewahesabu sawasawa. 95. Na kila mmoja wao atamjia Siku ya Kiyama peke yake. 96. Hakika wale walioamini na wakatenda mema, Arrahmani (Mwingi wa rehema) atawafanyia mapenzi. 97. Na hakika tumeifanya nyepesi (Qur'ani) kwa ulimi wako, ili uwabashirie kwayo wacha Mungu, na uwaonye kwayo kaumu wagumu mno. 98. Na kaumu ngapi tuliziangamiza kabla yao. Je, unamuona hata mmoja katika wao au unasikia hata mnong'ono wao?

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia