Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Ibrahim 14:16 من ورايه جهنم ويسقى من ماء صديد ١٦

Ukurasa 257 · Juzuu 13

مِّن
وَرَآئِهِۦ
جَهَنَّمُ
وَيُسۡقَىٰ
مِن
مَّآءٖ
صَدِيدٖ
١٦
Nyuma yake iko Jahannamu, na atanyweshwa katika maji ya usaha.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Disbelieving Nations threaten Their Messengers with Expulsion

Allah narrates to us how the disbelieving nations threatened their Messengers, that being, expulsion from their land and banshiment. For instance, the people of Prophet Shu`ayb, peace be upon him, said to him and to those who believed in h

…

Disbelieving Nations threaten Their Messengers with Expulsion

Allah narrates to us how the disbelieving nations threatened their Messengers, that being

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

13. Na wale waliokufuru wakawaambia Mitume wao: Hakika, tutawatoa katika nchi yetu, au lazima mtarudi katika mila yetu. Basi Mola wao Mlezi akawafunulia ufunuo (wahyi): Hakika tutawaangamiza madhalimu! 14. Na hakika tutawaweka kukaa katika ardhi baada yao. Haya ni kwa anayehofu kusimamishwa mbele yangu, na akahofu ahadi yangu ya adhabu. 15. Na wakaomba ushindi, na akashindwa kila jabari mkaidi. 16. Nyuma yake iko Jahannamu, na atanyweshwa katika maji ya usaha. 17. Awe anayagugumiza, wala hataweza kuyameza. Na mauti yatamjia kutokea kila upande, wala hatakufa. Na zaidi ya hayo itakuwepo adhabu nyengine kali.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia