Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Hud 11:121 وقل للذين لا يومنون اعملوا على مكانتكم انا عاملون ١٢١

Ukurasa 235 · Juzuu 12

وَقُل
لِّلَّذِينَ
لَا
يُؤۡمِنُونَ
ٱعۡمَلُواْ
عَلَىٰ
مَكَانَتِكُمۡ
إِنَّا
عَٰمِلُونَ
١٢١
Na waambie wale wasioamini, "Fanyieni mahali penu, nasi hakika pia tunafanya.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Allah, the Exalted, commands His Messenger to say to those who disbelieve in what he has come ...

اعْمَلُواْ عَلَى مَكَانَتِكُمْ

(Act according to your ability) This means upon your path and your way.

إِنَّا عَامِلُونَ

(We are acting (in our way). This means that we are upon our path and our way (Islam

…

Allah, the Exalted, commands His Messenger to say to those who disbelieve in what he has come ...

اعْمَلُواْ عَلَى مَكَانَتِكُمْ

(Act according to your

…
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

118. Na Mola wako Mlezi angelitaka, angewafanya watu wote wakawa umma mmoja. Lakini hawaachi kuhitilafiana. 119. Isipokuwa wale ambao Mola wako Mlezi amewarehemu. Na kwa hiyo ndiyo Mwenyezi Mungu amewaumba. Na lilitimia neno la Mola wako Mlezi kwamba hakika nitaijaza Jahannam kwa majini na watu kwa pamoja. 120. Na yote tunayokusimulia katika habari za Mitume yale tunayoimarisha kwayo (ufahamu wa) moyo wako. Na katika haya imekujia haki na mawaidha na ukumbusho kwa Waumini. 121. Na waambie wale wasioamini, "Fanyieni mahali penu, nasi hakika pia tunafanya. 122. Na ngojeni, na sisi hakika tunangoja." 123. Na ni ya Mwenyezi Mungu tu ghaibu ya mbinguni na ardhi, na mambo yote yatarejeshwa kwake. Basi muabudu Yeye na umtegemee. Na Mola wako Mlezi haghafiliki mbali na yale mnayoyatenda.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia