Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

52. Sura At-Tur

Soma na usikilize Sura At-Tur nzima (Sura 52), inayojumuisha aya 49. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 27), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
52:9
يوم تمور السماء مورا ٩
يَوْمَ تَمُورُ ٱلسَّمَآءُ مَوْرًۭا ٩
يَوۡمَ
تَمُورُ
ٱلسَّمَآءُ
مَوۡرٗا
٩
Siku zitakapo tikisika mbingu kwa mtikiso! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
52:10
وتسير الجبال سيرا ١٠
وَتَسِيرُ ٱلْجِبَالُ سَيْرًۭا ١٠
وَتَسِيرُ
ٱلۡجِبَالُ
سَيۡرٗا
١٠
Na milima iwe inakwenda kwa mwendo mkubwa. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
52:11
فويل يوميذ للمكذبين ١١
فَوَيْلٌۭ يَوْمَئِذٍۢ لِّلْمُكَذِّبِينَ ١١
فَوَيۡلٞ
يَوۡمَئِذٖ
لِّلۡمُكَذِّبِينَ
١١
Basi ole wao siku hiyo hao wanao kadhibisha, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
52:12
الذين هم في خوض يلعبون ١٢
ٱلَّذِينَ هُمْ فِى خَوْضٍۢ يَلْعَبُونَ ١٢
ٱلَّذِينَ
هُمۡ
فِي
خَوۡضٖ
يَلۡعَبُونَ
١٢
Ambao wanacheza katika mambo ya upuuzi. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
52:13
يوم يدعون الى نار جهنم دعا ١٣
يَوْمَ يُدَعُّونَ إِلَىٰ نَارِ جَهَنَّمَ دَعًّا ١٣
يَوۡمَ
يُدَعُّونَ
إِلَىٰ
نَارِ
جَهَنَّمَ
دَعًّا
١٣
Siku watapo sukumwa kwenye Moto kwa msukumo wa nguvu, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
52:14
هاذه النار التي كنتم بها تكذبون ١٤
هَـٰذِهِ ٱلنَّارُ ٱلَّتِى كُنتُم بِهَا تُكَذِّبُونَ ١٤
هَٰذِهِ
ٱلنَّارُ
ٱلَّتِي
كُنتُم
بِهَا
تُكَذِّبُونَ
١٤
(Waambiwe): Huu ndio ule Moto mlio kuwa mkiukanusha! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
52:15
افسحر هاذا ام انتم لا تبصرون ١٥
أَفَسِحْرٌ هَـٰذَآ أَمْ أَنتُمْ لَا تُبْصِرُونَ ١٥
أَفَسِحۡرٌ
هَٰذَآ
أَمۡ
أَنتُمۡ
لَا
تُبۡصِرُونَ
١٥
Je! Huu ni uchawi, au hamwoni tu? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
52:16
اصلوها فاصبروا او لا تصبروا سواء عليكم انما تجزون ما كنتم تعملون ١٦
ٱصْلَوْهَا فَٱصْبِرُوٓا۟ أَوْ لَا تَصْبِرُوا۟ سَوَآءٌ عَلَيْكُمْ ۖ إِنَّمَا تُجْزَوْنَ مَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ ١٦
ٱصۡلَوۡهَا
فَٱصۡبِرُوٓاْ
أَوۡ
لَا
تَصۡبِرُواْ
سَوَآءٌ
عَلَيۡكُمۡۖ
إِنَّمَا
تُجۡزَوۡنَ
مَا
كُنتُمۡ
تَعۡمَلُونَ
١٦
Uingieni, mkistahamili au msistahamili - ni mamoja kwenu. Hakika mnalipwa kwa mliyo kuwa mkiyatenda. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
52:17
ان المتقين في جنات ونعيم ١٧
إِنَّ ٱلْمُتَّقِينَ فِى جَنَّـٰتٍۢ وَنَعِيمٍۢ ١٧
إِنَّ
ٱلۡمُتَّقِينَ
فِي
جَنَّٰتٖ
وَنَعِيمٖ
١٧
Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na neema, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
52:18
فاكهين بما اتاهم ربهم ووقاهم ربهم عذاب الجحيم ١٨
فَـٰكِهِينَ بِمَآ ءَاتَىٰهُمْ رَبُّهُمْ وَوَقَىٰهُمْ رَبُّهُمْ عَذَابَ ٱلْجَحِيمِ ١٨
فَٰكِهِينَ
بِمَآ
ءَاتَىٰهُمۡ
رَبُّهُمۡ
وَوَقَىٰهُمۡ
رَبُّهُمۡ
عَذَابَ
ٱلۡجَحِيمِ
١٨
Wakifurahi kwa yale aliyo wapa Mola wao Mlezi. Na Mola wao Mlezi atawalinda na adhabu ya Motoni. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: An-NajmTafsir ya Sura At-Tur

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia