Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

At-Tur 52:39 ام له البنات ولكم البنون ٣٩

Ukurasa 525 · Juzuu 27

أَمۡ
لَهُ
ٱلۡبَنَٰتُ
وَلَكُمُ
ٱلۡبَنُونَ
٣٩
Au Yeye Mwenyezi Mungu ana wasichana, na nyinyi ndio mna wavulana?
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Affirming Tawhid and annulling the Plots of the Idolators. This is the position where Tawhid of Allah's Lordship andDivinity are affirmed

Allah the Exalted said,

أَمْ خُلِقُواْ مِنْ غَيْرِ شَىْءٍ أَمْ هُمُ الْخَلِقُونَ

(Or were they created by nothing Or were they themselves the creators) Allah asks th

…

Affirming Tawhid and annulling the Plots of the Idolators. This is the position where Tawhid of Allah's Lordship andDivinity are affirmed

Allah the Exa

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

29. Basi kumbusha! Kwani wewe, kwa neema ya Mola wako Mlezi, si kuhani wala mwendawazimu. 30. Au wanasema: Huyu ni mtunga mashairi, tunamtarajia kupatilizwa na dahari. 31. Sema: Tarajieni, na mimi pia ni pamoja nanyi katika kutarajia. 32. Au hizo akili zao ndio zinawaamrisha haya, au wao basi ni watu majeuri tu? 33. Au ndiyo wanasema: 'Ameitunga hii!' Bali basi tu hawaamini! 34. Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli. 35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? 36. Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana yakini. 37. Au wanazo hazina za Mola wako Mlezi au wao ndio wenye madaraka? 38. Au wanazo ngazi za kusikilizia? Basi huyo msikilizaji wao na alete hoja iliyo wazi! 39. Au Yeye Mwenyezi Mungu ana wasichana, na nyinyi ndio mna wavulana? 40. Au wewe unawaomba ujira, na kwa hivyo ndio wanaelemewa na uzito wa gharama? 41. Au wanayo elimu ya ghaibu, nao wameandika? 42. Au wanataka kufanya vitimbi tu? Lakini hao waliokufuru ndio watakaotegeka. 43. Au wanaye mungu asiyekuwa Mwenyezi Mungu? Ametakasika Mwenyezi Mungu mbali na hao wanaowashirikisha naye. 44. Na hata wangeona pande linatoka mbinguni linaanguka wangesema: Ni mawingu yaliyobebana. 45. Basi waache mpaka wakutane na siku yao watakapohilikishwa. 46. Siku ambayo hila zao hazitawafaa hata kidogo, wala wao hawatanusuriwa. 47. Na hakika wale waliodhulumu watapata adhabu nyingine isiyokuwa hii, lakini wengi wao hawajui. 48. Na ingojee hukumu ya Mola wako Mlezi. Kwani wewe hakika uko mbele ya macho yetu. 49. Na usiku pia mtakase, na zinapokuchwa nyota.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia