Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

81. Sura At-Takwyr

Soma na usikilize Sura At-Takwyr nzima (Sura 81), inayojumuisha aya 29. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 30), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
81:10
واذا الصحف نشرت ١٠
وَإِذَا ٱلصُّحُفُ نُشِرَتْ ١٠
وَإِذَا
ٱلصُّحُفُ
نُشِرَتۡ
١٠
Na madaftari yatakapo enezwa, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
81:11
واذا السماء كشطت ١١
وَإِذَا ٱلسَّمَآءُ كُشِطَتْ ١١
وَإِذَا
ٱلسَّمَآءُ
كُشِطَتۡ
١١
Na mbingu itapo tanduliwa, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
81:12
واذا الجحيم سعرت ١٢
وَإِذَا ٱلْجَحِيمُ سُعِّرَتْ ١٢
وَإِذَا
ٱلۡجَحِيمُ
سُعِّرَتۡ
١٢
Na Jahannamu itapo chochewa, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
81:13
واذا الجنة ازلفت ١٣
وَإِذَا ٱلْجَنَّةُ أُزْلِفَتْ ١٣
وَإِذَا
ٱلۡجَنَّةُ
أُزۡلِفَتۡ
١٣
Na Pepo ikasogezwa, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
81:14
علمت نفس ما احضرت ١٤
عَلِمَتْ نَفْسٌۭ مَّآ أَحْضَرَتْ ١٤
عَلِمَتۡ
نَفۡسٞ
مَّآ
أَحۡضَرَتۡ
١٤
Kila nafsi itajua ilicho kihudhurisha. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
81:15
فلا اقسم بالخنس ١٥
فَلَآ أُقْسِمُ بِٱلْخُنَّسِ ١٥
فَلَآ
أُقۡسِمُ
بِٱلۡخُنَّسِ
١٥
Naapa kwa nyota zinapo rejea nyuma, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
81:16
الجوار الكنس ١٦
ٱلْجَوَارِ ٱلْكُنَّسِ ١٦
ٱلۡجَوَارِ
ٱلۡكُنَّسِ
١٦
Zinazo kwenda, kisha zikajificha, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
81:17
والليل اذا عسعس ١٧
وَٱلَّيْلِ إِذَا عَسْعَسَ ١٧
وَٱلَّيۡلِ
إِذَا
عَسۡعَسَ
١٧
Na kwa usiku unapo pungua, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
81:18
والصبح اذا تنفس ١٨
وَٱلصُّبْحِ إِذَا تَنَفَّسَ ١٨
وَٱلصُّبۡحِ
إِذَا
تَنَفَّسَ
١٨
Na kwa asubuhi inapo pambazuka, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
81:19
انه لقول رسول كريم ١٩
إِنَّهُۥ لَقَوْلُ رَسُولٍۢ كَرِيمٍۢ ١٩
إِنَّهُۥ
لَقَوۡلُ
رَسُولٖ
كَرِيمٖ
١٩
Kwamba hakika bila ya shaka hii ni kauli ya Mjumbe mtukufu, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: Al-InfitarTafsir ya Sura At-Takwyr

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia