Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

26. Sura Ash-Shuaraa

Soma na usikilize Sura Ash-Shuaraa nzima (Sura 26), inayojumuisha aya 227. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 19), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
26:85
واجعلني من ورثة جنة النعيم ٨٥
وَٱجْعَلْنِى مِن وَرَثَةِ جَنَّةِ ٱلنَّعِيمِ ٨٥
وَٱجۡعَلۡنِي
مِن
وَرَثَةِ
جَنَّةِ
ٱلنَّعِيمِ
٨٥
Na unijaalie katika warithi wa Bustani za neema. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
26:86
واغفر لابي انه كان من الضالين ٨٦
وَٱغْفِرْ لِأَبِىٓ إِنَّهُۥ كَانَ مِنَ ٱلضَّآلِّينَ ٨٦
وَٱغۡفِرۡ
لِأَبِيٓ
إِنَّهُۥ
كَانَ
مِنَ
ٱلضَّآلِّينَ
٨٦
Na umsamehe baba yangu, kwani hakika alikuwa miongoni mwa wapotovu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
26:87
ولا تخزني يوم يبعثون ٨٧
وَلَا تُخْزِنِى يَوْمَ يُبْعَثُونَ ٨٧
وَلَا
تُخۡزِنِي
يَوۡمَ
يُبۡعَثُونَ
٨٧
Wala usinihizi Siku watapo fufuliwa. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
26:88
يوم لا ينفع مال ولا بنون ٨٨
يَوْمَ لَا يَنفَعُ مَالٌۭ وَلَا بَنُونَ ٨٨
يَوۡمَ
لَا
يَنفَعُ
مَالٞ
وَلَا
بَنُونَ
٨٨
Siku ambayo kwamba mali hayato faa kitu wala wana. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
26:89
الا من اتى الله بقلب سليم ٨٩
إِلَّا مَنْ أَتَى ٱللَّهَ بِقَلْبٍۢ سَلِيمٍۢ ٨٩
إِلَّا
مَنۡ
أَتَى
ٱللَّهَ
بِقَلۡبٖ
سَلِيمٖ
٨٩
Isipo kuwa mwenye kumjia Mwenyezi Mungu na moyo safi. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
26:90
وازلفت الجنة للمتقين ٩٠
وَأُزْلِفَتِ ٱلْجَنَّةُ لِلْمُتَّقِينَ ٩٠
وَأُزۡلِفَتِ
ٱلۡجَنَّةُ
لِلۡمُتَّقِينَ
٩٠
Na Pepo itasogezwa kwa wachamngu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
26:91
وبرزت الجحيم للغاوين ٩١
وَبُرِّزَتِ ٱلْجَحِيمُ لِلْغَاوِينَ ٩١
وَبُرِّزَتِ
ٱلۡجَحِيمُ
لِلۡغَاوِينَ
٩١
Na Jahannamu itadhihirishwa kwa wapotovu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
26:92
وقيل لهم اين ما كنتم تعبدون ٩٢
وَقِيلَ لَهُمْ أَيْنَ مَا كُنتُمْ تَعْبُدُونَ ٩٢
وَقِيلَ
لَهُمۡ
أَيۡنَ
مَا
كُنتُمۡ
تَعۡبُدُونَ
٩٢
Na wataambiwa: Wako wapi mlio kuwa mkiwaabudu 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
26:93
من دون الله هل ينصرونكم او ينتصرون ٩٣
مِن دُونِ ٱللَّهِ هَلْ يَنصُرُونَكُمْ أَوْ يَنتَصِرُونَ ٩٣
مِن
دُونِ
ٱللَّهِ
هَلۡ
يَنصُرُونَكُمۡ
أَوۡ
يَنتَصِرُونَ
٩٣
Badala ya Mwenyezi Mungu? Je! Wanakusaidieni, au wanajisaidia wenyewe? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
26:94
فكبكبوا فيها هم والغاوون ٩٤
فَكُبْكِبُوا۟ فِيهَا هُمْ وَٱلْغَاوُۥنَ ٩٤
فَكُبۡكِبُواْ
فِيهَا
هُمۡ
وَٱلۡغَاوُۥنَ
٩٤
Basi watavurumizwa humo wao na hao wakosefu, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: An-NamlTafsir ya Sura Ash-Shuaraa

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia