Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Ash-Shuaraa 26:97 تالله ان كنا لفي ضلال مبين ٩٧

Ukurasa 371 · Juzuu 19

تَٱللَّهِ
إِن
كُنَّا
لَفِي
ضَلَٰلٖ
مُّبِينٍ
٩٧
"Tallahi! Kwa yakini tulikuwa katika upotovu ulio dhahiri.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Those Who have Taqwa and the Astray on the Day of Resurrection, and the Arguments and Sorrow of the Erring

وَأُزْلِفَتِ الْجَنَّةُ

(And Paradise will be brought near) means, it will be brought close to its people, adorned and decorated for them to behold it. Its people are the pious who preferred it t

…

Those Who have Taqwa and the Astray on the Day of Resurrection, and the Arguments and Sorrow of the Erring

وَأُزْلِفَتِ الْجَنَّةُ

(And Paradise will be

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

69. Na wasomee habari za Ibrahim. 70. Alipomwambia baba yake na kaumu yake: Mnaabudu nini? 71. Wakasema: Tunaabudu masanamu, daima tunayanyenyekea. 72. Akasema: Je, yanawasikia mnapoyaita? 73. Au yanawafaa, au yanawadhuru? 74. Wakasema: Bali tuliwakuta baba zetu wakifanya hivyo hivyo. 75. Akasema: "Je, mmewaona hawa mnaowaabudu? 76. Nyinyi na baba zenu wa zamani? 77. Kwani hakika hao ni adui zangu, isipokuwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 78. Ambaye ndiye aliyeniumba, na Yeye ndiye ananiongoa. 79. Na ambaye ndiye ananilisha na kuninywesha. 80. Na ninapougua, ni Yeye ndiye anayeniponesha. 81. Na ambaye atanifisha, na kisha atanihuisha. 82. Na ambaye ndiye ninayemtumai kunisamehe makosa yangu Siku ya Malipo. 83. Mola wangu Mlezi! Nitunukie hukumu na uniunganishe na walio wema. 84. Na unijalie nitajwe kwa wema na watu watakaokuja baadaye. 85. Na unijalie katika warithi wa Bustani za neema. 86. Na umsamehe baba yangu, kwani hakika alikuwa miongoni mwa wapotovu. 87. Wala usinihizi Siku watakapofufuliwa. 88. Siku ambayo kwamba mali haitafaa kitu wala wana. 89. Isipokuwa mwenye kumjia Mwenyezi Mungu na moyo safi." 90. Na Bustani ya mbiguni itasogezwa kwa wacha Mungu. 91. Na Jahannamu itadhihirishwa kwa wapotovu. 92. Na wataambiwa: Wako wapi mliokuwa mkiwaabudu. 93. Badala ya Mwenyezi Mungu? Je, wanawasaidia, au wanajisaidia wenyewe? 94. Basi watavurumizwa humo wao na hao wakosefu. 95. Na majeshi ya Ibilisi yote. 96. Watasema, na hali ya kuwa wanazozana humo: 97. "Tallahi! Kwa yakini tulikuwa katika upotovu ulio dhahiri. 98. Tulipowafanya nyinyi ni sawa na Mola Mlezi wa walimwengu wote. 99. Na hawakutupoteza isipokuwa wale wakosefu. 100. Basi hatuna waombezi wowote. 101. Wala rafiki wa dhati. 102. Laiti tungelipata kurejea tena, tungelikuwa katika Waumini." 103. Hakika katika haya ipo Ishara, lakini wengi wao hawakuwa wenye kuamini. 104. Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwingi wa kurehemu.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia