Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Ash-Shuaraa 26:54 ان هاولاء لشرذمة قليلون ٥٤

Ukurasa 369 · Juzuu 19

إِنَّ
هَٰٓؤُلَآءِ
لَشِرۡذِمَةٞ
قَلِيلُونَ
٥٤
(Wakieneza): Hakika hawa ni kikundi kidogo.
reading-goal:continue-reading

Soma q-and-a.tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Exodus of the Children of Israel from Egypt

After Musa stayed in Egypt for a long time, and the proof of Allah was established against Fir`awn and his chiefs, yet they were still arrogant and stubborn, then there was nothing left for them but punishment and vengeance. So Allah commanded Musa, pea

…

The Exodus of the Children of Israel from Egypt

After Musa stayed in Egypt for a long time, and the proof of Allah was established against Fir`awn and

…
Tazama tafsirs

Soma related-content

52. Na tulimuamrisha Musa kwa ufunuo: Nenda na waja wangu wakati wa usiku. Kwa hakika mtafuatwa. 53. Basi Firauni akawatuma mijini wakusanyaji. 54. (Wakieneza): Hakika hawa ni kikundi kidogo. 55. Nao kwa hakika wanatuudhi. 56. Na sisi ni wengi, wenye kuchukua hadhari. 57. Basi tukawatoa katika mabustani na chemchemi. 58. Na mahazina, na vyeo vya heshima, 59. Vivyo hivyo, na tukawarithisha hayo Wana wa Israili. 60. Basi wakawafuata lilipochomoza jua. 61. Na yalipoonana majeshi mawili haya, watu wa Musa wakasema: Hakika sisi bila ya shaka tumekutwa! 62. (Musa) akasema: Hasha! Hakika yu pamoja nami Mola wangu Mlezi. Yeye ataniongoa! 63. Na tulimletea Musa ufunuo tukamwambia: Piga bahari kwa fimbo yako. Basi ikatengana, na kila sehemu ikawa kama mlima mkubwa. 64. Na tukawasongesha hapo karibu wale wengine. 65. Tukawaokoa Musa na wale waliokuwa pamoja naye wote. 66. Kisha tukawazamisha hao wengine. 67. Hakika bila ya shaka katika hayo ipo Ishara; lakini wengi wao si wenye kuamini. 68. Na kwa hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu, Mwingi wa kurehemu.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

reading-goal:continue-reading

Maelezo na Tafakari

reflection-not-available

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia