Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Ash-Shuaraa 26:37 ياتوك بكل سحار عليم ٣٧

Ukurasa 368 · Juzuu 19

يَأۡتُوكَ
بِكُلِّ
سَحَّارٍ
عَلِيمٖ
٣٧
Wakuletee kila mchawi bingwa mtaalamu.
reading-goal:continue-reading

Soma q-and-a.tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

After the Rational Proof, Fir`awn resorts to Force

When proof had been established against Fir`awn, clearly and rationally, he resorted to using force against Musa, thinking that after this there would no further room for discussion. So he said:

لَئِنِ اتَّخَذْتَ إِلَهَاً غَيْرِى لأَجْعَلَنَّكَ مِنَ ا
…

After the Rational Proof, Fir`awn resorts to Force

When proof had been established against Fir`awn, clearly and rationally, he resorted to using force

…
Tazama tafsirs

Soma related-content

34. (Firauni) akawaambia waheshimiwa waliomzunguka: Hakika huyu ni mchawi mtaalamu. 35. Anataka kuwatoa katika nchi yenu kwa uchawi wake. Basi mna shauri gani? 36. Wakasema: Mpe muda yeye na kakaye na uwatume mijini wakusanyao watu. 37. Wakuletee kila mchawi bingwa mtaalamu. 38. Basi wakakusanywa wachawi kwa ajili ya miadi ya siku maalumu. 39. Na watu wakaambiwa: Je, mtakusanyika? 40. Huenda tutawafuata wachawi ikiwa wao ndio watakaoshinda. 41. Basi walipokuja wachawi, wakamwambia Firauni: Je, tutapata ujira ikiwa sisi ndio tutakaoshinda? 42. Akasema: Ndiyo! Na hakika mtakuwa katika watu wa mbele. 43. Musa akawaambia: Tupeni mnavyotaka kutupa. 44. Basi wakatupa kamba zao na fimbo zao, na wakasema: Kwa nguvu za Firauni hakika sisi hapana shaka ni wenye kushinda. 45. Basi Musa akatupa fimbo yake, nayo mara ikavimeza vile walivyovizua. 46. Hapo wachawi hao walipinduka wakasujudu. 47. Wakasema: Tumemuamini Mola Mlezi wa walimwengu wote. 48. Mola Mlezi wa Musa na Harun. 49. (Firauni) akasema: Je, mmemuamini kabla ya kuwaruhusu? Bila ya shaka yeye basi ndiye mkubwa wenu aliyewafunza uchawi. Basi mtakuja jua! Nitakatakata mikono yenu na miguu yenu kwa kutofautisha. Na nitawasulubisha misalabani nyote. 50. Wakasema: Haidhuru, kwani sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi. 51. Hakika sisi tunatumai kwamba Mola wetu Mlezi atatusamehe makosa yetu, kwa kuwa tumekuwa wa kwanza wa Waumini.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

reading-goal:continue-reading

Maelezo na Tafakari

reflection-not-available

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia