Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Ash-Shuaraa 26:203 فيقولوا هل نحن منظرون ٢٠٣

Ukurasa 375 · Juzuu 19

فَيَقُولُواْ
هَلۡ
نَحۡنُ
مُنظَرُونَ
٢٠٣
Na watasema: "Je, tutapewa muhula?"
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Deniers will never believe until They see the Torment

Allah says: `thus We caused denial, disbelief, rejection and stubbornness to enter the hearts of the sinners.'

لاَ يُؤْمِنُونَ بِهِ

(They will not believe in it), i.e., the truth,

حَتَّى يَرَوُاْ الْعَذَابَ الاٌّلِيمَ

(until they see the painful t

…

The Deniers will never believe until They see the Torment

Allah says: `thus We caused denial, disbelief, rejection and stubbornness to enter the hearts

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

192. Na bila ya shaka hii ni Uteremsho wa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 193. Ameuteremsha Roho muaminifu. 194. Juu ya moyo wako, ili uwe katika Waonyaji. 195. Kwa ulimi wa Kiarabu ulio wazi. 196. Na hakika bila ya shaka haya yamo katika Vitabu vya kale. 197. Je, haikuwa kwao ni Ishara kwamba wanayajua haya wanachuoni wa Wana wa Israili? 198. Na lau kuwa tungeliiteremsha juu ya mmoja wa wasiokuwa Waarabu. 199. Na akawasomea, wasingelikuwa wenye kuamini. 200. Namna hivi tunaingiza katika nyoyo za wahalifu. 201. Hawataiamini mpaka waione adhabu chungu. 202. Basi itawafikia kwa ghafla, na hali hawana habari. 203. Na watasema: "Je, tutapewa muhula?" 204. Basi je, wanaihimiza adhabu yetu? 205. Waonaje kama tukiwastarehesha kwa miaka. 206. Kisha yakawafikia waliyokuwa wakiahidiwa. 207. Yatawafaa nini yale waliyostareheshewa?

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia