Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Ash-Shuaraa 26:178 اني لكم رسول امين ١٧٨

Ukurasa 374 · Juzuu 19

إِنِّي
لَكُمۡ
رَسُولٌ
أَمِينٞ
١٧٨
Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Shu`ayb and His Preaching to the Dwellers of Al-Aykah

The companions of Al-Aykah were the people of Madyan, according to the most correct view. The Prophet of Allah Shu`ayb was one of them, but it does not say here, their brother Shu`ayb, because they called themselves by a name denoting their deific

…

Shu`ayb and His Preaching to the Dwellers of Al-Aykah

The companions of Al-Aykah were the people of Madyan, according to the most correct view. The Pro

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

176. Watu wa Machakani waliwakanusha Mitume. 177. Shuaibu alipowaambia: Je, hamumchi Mungu? 178. Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. 179. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nitiini mimi. 180. Wala siwaulizi ujira wowote juu yake. Ujira wangu hauko isipokuwa kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 181. Timizeni kipimo sawasawa, wala msiwe katika wanaopunja. 182. Na pimeni kwa haki iliyonyooka. 183. Wala msiwapunje watu vitu vyao, wala msifanye jeuri katika ardhi kwa kufanya uharibifu. 184. Na mcheni aliyewaumba nyinyi na vizazi vilivyotangulia. 185. Wakasema: Hakika wewe ni katika waliorogwa. 186. Na wewe si chochote isipokuwa ni mtu tu kama sisi, na kwa yakini tunakuona wewe ni katika waongo. 187. Hebu tuangushie vipande kutoka mbinguni ikiwa wewe ni miongoni mwa wakweli. 188. Akasema: Mola wangu Mlezi anajua zaidi mnayoyatenda. 189. Basi walimkanusha, na ikawashika adhabu ya Siku ya kivuli. Hakika hiyo ilikuwa adhabu ya Siku kubwa. 190. Hakika katika hayo ipo Ishara, lakini hawakuwa wengi wao wenye kuamini. 191. Na hakika Mola wako Mlezi bila ya shaka ndiye Yeye Mwenye nguvu, Mwingi wa kurehemu.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia