Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Ash-Shuaraa 26:159 وان ربك لهو العزيز الرحيم ١٥٩

Ukurasa 373 · Juzuu 19

وَإِنَّ
رَبَّكَ
لَهُوَ
ٱلۡعَزِيزُ
ٱلرَّحِيمُ
١٥٩
Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu, Mwingi wa kurehemu.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Response of Thamud, Their Demand for a Sign, and Their Punishment

Allah tells us how Thamud responded to their Prophet Salih, upon him be peace, when he called them to worship their Lord, may He be glorified.

قَالُواْ إِنَّمَآ أَنتَ مِنَ الْمُسَحَّرِينَ

(They said: "You are only of those bewitched

…

The Response of Thamud, Their Demand for a Sign, and Their Punishment

Allah tells us how Thamud responded to their Prophet Salih, upon him be peace, wh

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

141. Kina Thamud waliwakadhibisha Mitume. 142. Alipowaambia ndugu yao Saleh: Je, hamumchi Mungu? 143. Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. 144. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nitiini. 145. Wala siwaulizi ujira wowote juu yake. Ujira wangu hauko isipokuwa kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 146. Je, mtaachwa salama salimini katika haya yaliyopo hapa? 147. Katika mabustani, na chemchemi? 148. Na konde na mitende yenye makole yaliyowiva. 149. Na mnachonga milimani majumba kwa ustadi. 150. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nitiini mimi. 151. Wala msitii amri za waliopitiliza mipaka. 152. Ambao wanafanya uharibifu katika nchi, wala hawatengenezi. 153. Wakasema: Hakika wewe ni miongoni mwa waliorogwa. 154. Wewe si chochote isipokuwa ni mtu kama sisi. Basi leta Ishara ikiwa wewe ni miongoni mwa wakweli. 155. Akasema: Huyu ngamia jike; awe na zamu yake ya kunywa, na nyinyi muwe na zamu yenu ya kunywa katika siku maalumu. 156. Wala msimguse kwa wovu, ikawashika adhabu ya Siku Kubwa. 157. Lakini wakamuua, na wakawa wenye kujuta. 158. Basi ikawapata adhabu. Hakika katika hayo ipo Ishara. Lakini hawakuwa wengi wao wenye kuamini. 159. Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu, Mwingi wa kurehemu.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia