Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Ash-Shuaraa 26:13 ويضيق صدري ولا ينطلق لساني فارسل الى هارون ١٣

Ukurasa 367 · Juzuu 19

وَيَضِيقُ
صَدۡرِي
وَلَا
يَنطَلِقُ
لِسَانِي
فَأَرۡسِلۡ
إِلَىٰ
هَٰرُونَ
١٣
Na kifua changu kina dhiki, na ulimi wangu haukunjuki vyema. Basi mtumie ujumbe Harun.
reading-goal:continue-reading

Soma q-and-a.tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Between Musa and Fir`awn

Allah tells us what He commanded His servant, son of `Imran and Messenger Musa, peace be upon him, who spoke with Him, to do, when He called him from the right side of the mountain, and conversed with him, and chose him, sent him, and commanded him to go to Fir`awn and his pe

…

Between Musa and Fir`awn

Allah tells us what He commanded His servant, son of `Imran and Messenger Musa, peace be upon him, who spoke with Him, to do,

…
Tazama tafsirs

Soma related-content

10. Na Mola wako Mlezi, alipomwita Musa, akamwambia: Nenda kwa kaumu madhalimu. 11. Kaumu wa Firauni. Kwani hawamchi Mwenyezi Mungu? 12. Akasema: Mola wangu Mlezi, hakika mimi ninachelea kwamba watanikadhibisha. 13. Na kifua changu kina dhiki, na ulimi wangu haukunjuki vyema. Basi mtumie ujumbe Harun. 14. Na wao wana dhambi niliyowafanyia, kwa hivyo ninahofu wanaweza kuniua. 15. Akasema: Sivyo hivyo kabisa! Nendeni na miujiza yetu. Hakika Sisi tu pamoja nanyi, tunasikiliza. 16. Basi nendeni kwa Firauni na mwambieni: Hakika sisi ni Mitume wa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 17. Kwamba: Waachilie Wana wa Israili waende pamoja nasi. 18. (Firauni) akasema: Je, sisi hatukukulea wewe utotoni, na ukakaa miongoni mwetu katika umri wako miaka mingi? 19. Na ukatenda kitendo chako ulichotenda, nawe ukawa miongoni mwa wenye kukufuru? 20. (Musa) akasema: Nilitenda hayo hapo nilipokuwa miongoni mwa wale waliopotea. 21. Basi nikawakimbia nilipowahofu, tena Mola wangu Mlezi akanitunukia hukumu, na akanijaalia niwe miongoni mwa Mitume. 22. Na hiyo ndiyo neema ya kunisimbulia, na wewe umewatia utumwani Wana wa Israili? 23. Firauni akasema: Na ni nani huyo Mola Mlezi wa walimwengu wote? 24. Akasema: Ndiye Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, na vilivyo baina yake, ikiwa nyinyi ni wenye yakini. 25. (Firauni) akawaambia waliomzunguka: Kwani hamsikilizi? 26. (Musa) akasema: Ndiye Mola wenu Mlezi, na Mola Mlezi wa baba zenu wa kwanza. 27. (Firauni) akasema: Hakika huyu Mtume wenu aliyetumwa kwenu ni mwendawazimu. 28. (Musa) akasema: Ndiye Mola Mlezi wa Mashariki na Magharibi na vilivyo baina yake, ikiwa nyinyi mnatia akilini. 29. (Firauni) akasema: Ukijifanyia mungu mwingine asiyekuwa mimi, basi bila ya shaka nitakufunga gerezani. 30. Akasema: Je, hata kama nitakuletea kitu cha kubainisha wazi? 31. Akasema: Kilete basi, kama wewe ni katika wakweli. 32. Basi akaitupa fimbo yake, mara ikawa nyoka wa kuonekana dhahiri. 33. Na akautoa nje mkono wake, mara ukawa mweupe kwa watazamao.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

reading-goal:continue-reading

Maelezo na Tafakari

reflection-not-available

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia