Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

91. Sura Ash-Shams

Soma na usikilize Sura Ash-Shams nzima (Sura 91), inayojumuisha aya 15. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 30), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
91:2
والقمر اذا تلاها ٢
وَٱلْقَمَرِ إِذَا تَلَىٰهَا ٢
وَٱلۡقَمَرِ
إِذَا
تَلَىٰهَا
٢
Na kwa mwezi unapo lifuatia! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
91:3
والنهار اذا جلاها ٣
وَٱلنَّهَارِ إِذَا جَلَّىٰهَا ٣
وَٱلنَّهَارِ
إِذَا
جَلَّىٰهَا
٣
Na kwa mchana unapo lidhihirisha! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
91:4
والليل اذا يغشاها ٤
وَٱلَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰهَا ٤
وَٱلَّيۡلِ
إِذَا
يَغۡشَىٰهَا
٤
Na kwa usiku unapo lifunika! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
91:5
والسماء وما بناها ٥
وَٱلسَّمَآءِ وَمَا بَنَىٰهَا ٥
وَٱلسَّمَآءِ
وَمَا
بَنَىٰهَا
٥
Na kwa mbingu na kwa aliye ijenga! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
91:6
والارض وما طحاها ٦
وَٱلْأَرْضِ وَمَا طَحَىٰهَا ٦
وَٱلۡأَرۡضِ
وَمَا
طَحَىٰهَا
٦
Na kwa ardhi na kwa aliye itandaza! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
91:7
ونفس وما سواها ٧
وَنَفْسٍۢ وَمَا سَوَّىٰهَا ٧
وَنَفۡسٖ
وَمَا
سَوَّىٰهَا
٧
Na kwa nafsi na kwa aliye itengeneza! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
91:8
فالهمها فجورها وتقواها ٨
فَأَلْهَمَهَا فُجُورَهَا وَتَقْوَىٰهَا ٨
فَأَلۡهَمَهَا
فُجُورَهَا
وَتَقۡوَىٰهَا
٨
Kisha akaifahamisha uovu wake na wema wake! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
91:9
قد افلح من زكاها ٩
قَدْ أَفْلَحَ مَن زَكَّىٰهَا ٩
قَدۡ
أَفۡلَحَ
مَن
زَكَّىٰهَا
٩
Hakika amefanikiwa aliye itakasa! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
91:10
وقد خاب من دساها ١٠
وَقَدْ خَابَ مَن دَسَّىٰهَا ١٠
وَقَدۡ
خَابَ
مَن
دَسَّىٰهَا
١٠
Na hakika amekhasiri aliye iviza. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
91:11
كذبت ثمود بطغواها ١١
كَذَّبَتْ ثَمُودُ بِطَغْوَىٰهَآ ١١
كَذَّبَتۡ
ثَمُودُ
بِطَغۡوَىٰهَآ
١١
Kina Thamudi walikadhibisha kwa sababu ya upotofu wao, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: Al-LaylTafsir ya Sura Ash-Shams

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia