Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

37. Sura As-Saaffat

Soma na usikilize Sura As-Saaffat nzima (Sura 37), inayojumuisha aya 182. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 23), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
37:159
سبحان الله عما يصفون ١٥٩
سُبْحَـٰنَ ٱللَّهِ عَمَّا يَصِفُونَ ١٥٩
سُبۡحَٰنَ
ٱللَّهِ
عَمَّا
يَصِفُونَ
١٥٩
Subhana 'Llah Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo msingizia. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
37:160
الا عباد الله المخلصين ١٦٠
إِلَّا عِبَادَ ٱللَّهِ ٱلْمُخْلَصِينَ ١٦٠
إِلَّا
عِبَادَ
ٱللَّهِ
ٱلۡمُخۡلَصِينَ
١٦٠
Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio safishwa. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
37:161
فانكم وما تعبدون ١٦١
فَإِنَّكُمْ وَمَا تَعْبُدُونَ ١٦١
فَإِنَّكُمۡ
وَمَا
تَعۡبُدُونَ
١٦١
Basi hakika nyinyi na mnao waabudu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
37:162
ما انتم عليه بفاتنين ١٦٢
مَآ أَنتُمْ عَلَيْهِ بِفَـٰتِنِينَ ١٦٢
مَآ
أَنتُمۡ
عَلَيۡهِ
بِفَٰتِنِينَ
١٦٢
Hamwezi kuwapoteza. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
37:163
الا من هو صال الجحيم ١٦٣
إِلَّا مَنْ هُوَ صَالِ ٱلْجَحِيمِ ١٦٣
إِلَّا
مَنۡ
هُوَ
صَالِ
ٱلۡجَحِيمِ
١٦٣
Isipo kuwa yule atakaye ingia Motoni. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
37:164
وما منا الا له مقام معلوم ١٦٤
وَمَا مِنَّآ إِلَّا لَهُۥ مَقَامٌۭ مَّعْلُومٌۭ ١٦٤
وَمَا
مِنَّآ
إِلَّا
لَهُۥ
مَقَامٞ
مَّعۡلُومٞ
١٦٤
Na hapana katika sisi ila anapo mahali pake maalumu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
37:165
وانا لنحن الصافون ١٦٥
وَإِنَّا لَنَحْنُ ٱلصَّآفُّونَ ١٦٥
وَإِنَّا
لَنَحۡنُ
ٱلصَّآفُّونَ
١٦٥
Na hakika bila ya shaka sisi ndio wajipangao safu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
37:166
وانا لنحن المسبحون ١٦٦
وَإِنَّا لَنَحْنُ ٱلْمُسَبِّحُونَ ١٦٦
وَإِنَّا
لَنَحۡنُ
ٱلۡمُسَبِّحُونَ
١٦٦
Na hakika sisi ndio wenye kusabihi kutakasa. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
37:167
وان كانوا ليقولون ١٦٧
وَإِن كَانُوا۟ لَيَقُولُونَ ١٦٧
وَإِن
كَانُواْ
لَيَقُولُونَ
١٦٧
Na walikuwapo walio kuwa wakisema:. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
37:168
لو ان عندنا ذكرا من الاولين ١٦٨
لَوْ أَنَّ عِندَنَا ذِكْرًۭا مِّنَ ٱلْأَوَّلِينَ ١٦٨
لَوۡ
أَنَّ
عِندَنَا
ذِكۡرٗا
مِّنَ
ٱلۡأَوَّلِينَ
١٦٨
Tungeli kuwa na Ukumbusho kama wa watu wa zamani,. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: SadTafsir ya Sura As-Saaffat

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia