Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

As-Saaffat 37:93 فراغ عليهم ضربا باليمين ٩٣

Ukurasa 449 · Juzuu 23

فَرَاغَ
عَلَيۡهِمۡ
ضَرۡبَۢا
بِٱلۡيَمِينِ
٩٣
Kisha akaigeukia kuipiga kwa mkono wa kulia.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

فَتَوَلَّوْاْ عَنْهُ مُدْبِرِينَ

(So they turned away from him and departed.) Qatadah said, "The Arabs say of one who thinks deeply that he is looking at the stars." What Qatadah meant is that he looked at the heavens, thinking of a way to distract his people. So he said,

إِنِّى سَقِيمٌ

(Verily, I a

…

فَتَوَلَّوْاْ عَنْهُ مُدْبِرِينَ

(So they turned away from him and departed.) Qatadah said, "The Arabs say of one who thinks deeply that he is looking

…
Tafsir Zaidi

Soma katika Muktadha

83. Na hakika Ibrahim alikuwa katika kundi lake. 84. Alipomjia Mola wake Mlezi kwa moyo mzima. 85. Alimwambia baba yake na watu wake: Mnaabudu nini? 86. Kwa kuzua tu mnataka miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu? 87. Mnamdhania nini Mola Mlezi wa walimwengu wote?" 88. Kisha akapiga jicho kutazama nyota. 89. Akasema: Hakika mimi ni mgonjwa! 90. Nao wakamwacha, wakampa kisogo. 91. Basi akaiendea miungu yao kwa siri, akaiambia: Mbona hamli? 92. Mna nini hata hamsemi? 93. Kisha akaigeukia kuipiga kwa mkono wa kulia. 94. Basi wakamjia upesi upesi. 95. Akasema: Hivyo mnaviabudu vitu mnavyovichonga wenyewe? 96. Na hali Mwenyezi Mungu ndiye aliyekuumbeni nyinyi na hivyo mnavyovifanya! 97. Wakasema: Mjengeeni jengo, na kisha mtupeni motoni humo! 98. Basi walitaka kumfanyia vitimbi, lakini tukawafanya wao ndio wa chini zaidi.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia