Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

As-Saaffat 37:69 انهم الفوا اباءهم ضالين ٦٩

Ukurasa 448 · Juzuu 23

إِنَّهُمۡ
أَلۡفَوۡاْ
ءَابَآءَهُمۡ
ضَآلِّينَ
٦٩
Hakika waliwakuta baba zao wamepotea.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Tree of Zaqqum and its Companions

Here Allah asks: `Is that which He has mentioned of the delights of Paradise with its food, drink, companions and other joys better entertainment, or

أَمْ شَجَرَةُ الزَّقُّومِ

(or the tree of Zaqqum) which is in Hell' The meaning here is a specific kind of tree whi

…

The Tree of Zaqqum and its Companions

Here Allah asks: `Is that which He has mentioned of the delights of Paradise with its food, drink, companions and

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

62. Je, kukaribishwa hivi si ndiyo bora, au mti wa Zaqqum? 63. Hakika Sisi tumeufanya huo kuwa ni mateso kwa waliodhulumu. 64. Hakika huo ni mti unaotoka katikati ya Jahannamu. 65. Mashada ya matunda yake kama kwamba ni vichwa vya mashetani. 66. Basi hakika bila ya shaka hao watayala hayo, na wajaze matumbo kwayo. 67. Kisha juu yake wanyweshwe mchanganyo wa maji ya moto yaliyochemka. 68. Kisha hakika marejeo yao bila ya shaka yatakuwa Jahimu. 69. Hakika waliwakuta baba zao wamepotea. 70. Na wao wakafanya haraka kufuata nyayo zao. 71. Na bila ya shaka walikwisha potea kabla yao wengi wa watu wa zamani. 72. Na Sisi hakika tuliwapelekea waonyaji. 73. Basi hebu angalia ulikuwaje mwisho wa walioonywa. 74. Isipokuwa waja wa Mwenyezi Mungu waliosafishwa.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia