Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

As-Saaffat 37:48 وعندهم قاصرات الطرف عين ٤٨

Ukurasa 447 · Juzuu 23

وَعِندَهُمۡ
قَٰصِرَٰتُ
ٱلطَّرۡفِ
عِينٞ
٤٨
Na watakuwa nao wanawake wenye macho ya staha, mazuri.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Punishment of the Idolators and the Reward of the sincere Believers

Allah says, addressing the people:

إِنَّكُمْ لَذَآئِقُو الْعَذَابَ الاٌّلِيمِ - وَمَا تُجْزَوْنَ إِلاَّ مَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ

(Verily, you are going to taste the painful torment; and you will be requited nothing except for what

…

The Punishment of the Idolators and the Reward of the sincere Believers

Allah says, addressing the people:

إِنَّكُمْ لَذَآئِقُو الْعَذَابَ الاٌّلِيمِ -
…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

40. Isipokuwa waja wa Mwenyezi Mungu walioteuliwa. 41. Hao ndio watakaopata riziki maalumu. 42. Matunda, nao wataheshimiwa. 43. Katika Bustani za neema. 44. Wako juu ya viti mfano wa kitanda wameelekeana. 45. Wanazungushiwa kikombe chenye kinywaji cha chemchemi. 46. Kinywaji cheupe, kitamu kwa wanywao. 47. Hakina madhara, wala hakiwaleweshi. 48. Na watakuwa nao wanawake wenye macho ya staha, mazuri. 49. Hao wanawake kama mayai yaliyohifadhika. 50. Basi wakaelekeana kuulizana wenyewe kwa wenyewe. 51. Aseme msemaji mmoja miongoni mwao: Hakika mimi nilikuwa na rafiki. 52. Aliyekuwa akiniambia: Hivyo wewe ni katika wanaosadiki. 53. Ati tukishakufa tukawa udongo na mafupa, ndiyo tutalipwa na kufanyiwa hesabu? 54. Atasema: Je, nyie mnawaona? 55. Basi atachungulia amwone katikati ya Jahannamu. 56. Atasema: Wallahi! (Naapa kwa jina la Mwenyezi Mungu) Ulikaribia sana kunipoteza. 57. Na lau kuwa si neema ya Mola wangu Mlezi, bila ya shaka ningelikuwa miongoni mwa waliohudhurishwa. 58. Je, sisi hatutakufa? 59. Isipokuwa kifo chetu cha kwanza? Wala sisi hatutaadhibiwa. 60. Hakika huku bila ya shaka ndiko kufuzu kukubwa. 61. Kwa mfano wa haya na watende watendao.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia