Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

As-Saaffat 37:11 فاستفتهم اهم اشد خلقا ام من خلقنا انا خلقناهم من طين لازب ١١

Ukurasa 446 · Juzuu 23

فَٱسۡتَفۡتِهِمۡ
أَهُمۡ
أَشَدُّ
خَلۡقًا
أَم
مَّنۡ
خَلَقۡنَآۚ
إِنَّا
خَلَقۡنَٰهُم
مِّن
طِينٖ
لَّازِبِۭ
١١
Hebu waulize: Je! Wao ni wenye umbo gumu zaidi au hao wengine tuliowaumba. Hakika Sisi tuliwaumba wao kwa udongo unaonata.
reading-goal:continue-reading

Soma q-and-a.tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Certainty of Life after Death

Allah says: `Ask these people, those who deny the resurrection, which is harder to create Are they more difficult to create or the heavens, the earth, the angels, devils, the mighty creatures -- everything in between them' Ibn Mas`ud said that they admitted that thes

…

The Certainty of Life after Death

Allah says: `Ask these people, those who deny the resurrection, which is harder to create Are they more difficult to

…
Tazama tafsirs

Soma related-content

1. Ninaapa kwa wanaojipanga kwa safu. 2. Na kwa wenye kukataza mabaya. 3. Na kwa wenye kusoma Ukumbusho. 4. Hakika Mungu wenu bila ya shaka ni Mmoja. 5. Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, na yaliyomo kati yake, na ni Mola Mlezi wa mashariki zote. 6. Hakika Sisi tumeipamba mbingu ya karibu kwa pambo la nyota. 7. Na kulinda na kila shetani muasi. 8. Wasiweze kuwasikiliza viumbe watukufu. Na wanafukuzwa huko kila upande. 9. Wakifurushwa. Na wanayo adhabu ya kudumu. 10. Isipokuwa anayenyakua kitu kidogo, na mara humfwatia kimondo kinachong'ara. 11. Hebu waulize: Je! Wao ni wenye umbo gumu zaidi au hao wengine tuliowaumba. Hakika Sisi tuliwaumba wao kwa udongo unaonata.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

reading-goal:continue-reading

Maelezo na Tafakari

reflection-not-available

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia