Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

An-Nisaa 4:164 ورسلا قد قصصناهم عليك من قبل ورسلا لم نقصصهم عليك وكلم الله موسى تكليما ١٦٤

Ukurasa 104 · Juzuu 6

وَرُسُلٗا
قَدۡ
قَصَصۡنَٰهُمۡ
عَلَيۡكَ
مِن
قَبۡلُ
وَرُسُلٗا
لَّمۡ
نَقۡصُصۡهُمۡ
عَلَيۡكَۚ
وَكَلَّمَ
ٱللَّهُ
مُوسَىٰ
تَكۡلِيمٗا
١٦٤
Na Mitume tuliokwishakukuhadithia kabla yake, na Mitume wengine ambao hatukukuhadithia. Na Mwenyezi Mungu alizungumza na Musa kwa maneno.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Revelation Came to Prophet Muhammad ﷺ, Just as it Came to the Prophets Before Him

Muhammad bin Ishaq narrated that Muhammad bin Abi Muhammad said that `Ikrimah, or Sa`id bin Jubayr, related to Ibn `Abbas that he said, "Sukayn and `Adi bin Zayd said, `O Muhammad! We do not know that Allah sent down an

…

Revelation Came to Prophet Muhammad ﷺ, Just as it Came to the Prophets Before Him

Muhammad bin Ishaq narrated that Muhammad bin Abi Muhammad said that

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

163. Hakika Sisi tumekufunulia ufunuo (wahyi) wewe kama tulivyomfunulia ufunuo (wahyi) Nuhu na Manabii waliokuwa baada yake. Na tulimfunulia ufunuo (wahyi) Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wanawe, na Isa na Ayub na Yunus na Harun na Suleiman, naye Daud tukampa Zaburi. 164. Na Mitume tuliokwishakukuhadithia kabla yake, na Mitume wengine ambao hatukukuhadithia. Na Mwenyezi Mungu alizungumza na Musa kwa maneno. 165. Mitume hao ni wabashiri na waonyaji, ili watu wasiwe na hoja juu ya Mwenyezi Mungu baada ya kuletewa Mitume. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hekima. 166. Lakini Mwenyezi Mungu anayashuhudia yale aliyokuteremshia wewe. Aliyateremsha kwa elimu yake, na Malaika pia wanashuhudia. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi wa sawasawa.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia