Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

79. Sura An-Naziat

Soma na usikilize Sura An-Naziat nzima (Sura 79), inayojumuisha aya 46. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 30), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
79:12
قالوا تلك اذا كرة خاسرة ١٢
قَالُوا۟ تِلْكَ إِذًۭا كَرَّةٌ خَاسِرَةٌۭ ١٢
قَالُواْ
تِلۡكَ
إِذٗا
كَرَّةٌ
خَاسِرَةٞ
١٢
Wanasema: Basi marejeo hayo ni yenye khasara! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
79:13
فانما هي زجرة واحدة ١٣
فَإِنَّمَا هِىَ زَجْرَةٌۭ وَٰحِدَةٌۭ ١٣
فَإِنَّمَا
هِيَ
زَجۡرَةٞ
وَٰحِدَةٞ
١٣
Kwa hakika hayo ni ukelele mmoja tu, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
79:14
فاذا هم بالساهرة ١٤
فَإِذَا هُم بِٱلسَّاهِرَةِ ١٤
فَإِذَا
هُم
بِٱلسَّاهِرَةِ
١٤
Mara watakuwa kwenye uwanda wa mkutano! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
79:15
هل اتاك حديث موسى ١٥
هَلْ أَتَىٰكَ حَدِيثُ مُوسَىٰٓ ١٥
هَلۡ
أَتَىٰكَ
حَدِيثُ
مُوسَىٰٓ
١٥
Je! Imekufikia hadithi ya Musa? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
79:16
اذ ناداه ربه بالواد المقدس طوى ١٦
إِذْ نَادَىٰهُ رَبُّهُۥ بِٱلْوَادِ ٱلْمُقَدَّسِ طُوًى ١٦
إِذۡ
نَادَىٰهُ
رَبُّهُۥ
بِٱلۡوَادِ
ٱلۡمُقَدَّسِ
طُوًى
١٦
Mola wake Mlezi alipo mwita katika bonde takatifu la T'uwaa, akamwambia: 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
79:17
اذهب الى فرعون انه طغى ١٧
ٱذْهَبْ إِلَىٰ فِرْعَوْنَ إِنَّهُۥ طَغَىٰ ١٧
ٱذۡهَبۡ
إِلَىٰ
فِرۡعَوۡنَ
إِنَّهُۥ
طَغَىٰ
١٧
Nenda kwa Firauni. Hakika yeye amezidi jeuri 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
79:18
فقل هل لك الى ان تزكى ١٨
فَقُلْ هَل لَّكَ إِلَىٰٓ أَن تَزَكَّىٰ ١٨
فَقُلۡ
هَل
لَّكَ
إِلَىٰٓ
أَن
تَزَكَّىٰ
١٨
Umwambie: Je! Unapenda kujitakasa? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
79:19
واهديك الى ربك فتخشى ١٩
وَأَهْدِيَكَ إِلَىٰ رَبِّكَ فَتَخْشَىٰ ١٩
وَأَهۡدِيَكَ
إِلَىٰ
رَبِّكَ
فَتَخۡشَىٰ
١٩
Nami nitakuongoa ufike kwa Mola wako Mlezi, upate kumcha. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
79:20
فاراه الاية الكبرى ٢٠
فَأَرَىٰهُ ٱلْـَٔايَةَ ٱلْكُبْرَىٰ ٢٠
فَأَرَىٰهُ
ٱلۡأٓيَةَ
ٱلۡكُبۡرَىٰ
٢٠
Basi alimwonyesha Ishara kubwa. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
79:21
فكذب وعصى ٢١
فَكَذَّبَ وَعَصَىٰ ٢١
فَكَذَّبَ
وَعَصَىٰ
٢١
Lakini aliikadhibisha na akaasi. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: AbasaTafsir ya Sura An-Naziat

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia