Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

53. Sura An-Najm

Soma na usikilize Sura An-Najm nzima (Sura 53), inayojumuisha aya 62. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 27), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
53:49
وانه هو رب الشعرى ٤٩
وَأَنَّهُۥ هُوَ رَبُّ ٱلشِّعْرَىٰ ٤٩
وَأَنَّهُۥ
هُوَ
رَبُّ
ٱلشِّعۡرَىٰ
٤٩
Na kwamba hakika Yeye ndiye Mola Mlezi wa nyota ya Shii'ra. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
53:50
وانه اهلك عادا الاولى ٥٠
وَأَنَّهُۥٓ أَهْلَكَ عَادًا ٱلْأُولَىٰ ٥٠
وَأَنَّهُۥٓ
أَهۡلَكَ
عَادًا
ٱلۡأُولَىٰ
٥٠
Na kwamba Yeye ndiye aliye waangamiza A'di wa kwanza, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
53:51
وثمود فما ابقى ٥١
وَثَمُودَا۟ فَمَآ أَبْقَىٰ ٥١
وَثَمُودَاْ
فَمَآ
أَبۡقَىٰ
٥١
Na Thamudi hakuwabakisha, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
53:52
وقوم نوح من قبل انهم كانوا هم اظلم واطغى ٥٢
وَقَوْمَ نُوحٍۢ مِّن قَبْلُ ۖ إِنَّهُمْ كَانُوا۟ هُمْ أَظْلَمَ وَأَطْغَىٰ ٥٢
وَقَوۡمَ
نُوحٖ
مِّن
قَبۡلُۖ
إِنَّهُمۡ
كَانُواْ
هُمۡ
أَظۡلَمَ
وَأَطۡغَىٰ
٥٢
Na kabla yao kaumu ya Nuhu. Na hao hakika walikuwa ni madhaalimu zaidi, na waovu zaidi; 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
53:53
والموتفكة اهوى ٥٣
وَٱلْمُؤْتَفِكَةَ أَهْوَىٰ ٥٣
وَٱلۡمُؤۡتَفِكَةَ
أَهۡوَىٰ
٥٣
Na miji iliyo pinduliwa, ni Yeye aliye ipindua. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
53:54
فغشاها ما غشى ٥٤
فَغَشَّىٰهَا مَا غَشَّىٰ ٥٤
فَغَشَّىٰهَا
مَا
غَشَّىٰ
٥٤
Vikaifunika vilivyo funika. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
53:55
فباي الاء ربك تتمارى ٥٥
فَبِأَىِّ ءَالَآءِ رَبِّكَ تَتَمَارَىٰ ٥٥
فَبِأَيِّ
ءَالَآءِ
رَبِّكَ
تَتَمَارَىٰ
٥٥
Basi neema gani ya Mola wako Mlezi unayo ifanyia shaka? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
53:56
هاذا نذير من النذر الاولى ٥٦
هَـٰذَا نَذِيرٌۭ مِّنَ ٱلنُّذُرِ ٱلْأُولَىٰٓ ٥٦
هَٰذَا
نَذِيرٞ
مِّنَ
ٱلنُّذُرِ
ٱلۡأُولَىٰٓ
٥٦
Hili ni Onyo katika maonyo yale yale ya zamani. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
53:57
ازفت الازفة ٥٧
أَزِفَتِ ٱلْـَٔازِفَةُ ٥٧
أَزِفَتِ
ٱلۡأٓزِفَةُ
٥٧
Kiyama kimekaribia! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
53:58
ليس لها من دون الله كاشفة ٥٨
لَيْسَ لَهَا مِن دُونِ ٱللَّهِ كَاشِفَةٌ ٥٨
لَيۡسَ
لَهَا
مِن
دُونِ
ٱللَّهِ
كَاشِفَةٌ
٥٨
Hapana wa kukifichua isipo kuwa Mwenyezi Mungu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: Al-QamarTafsir ya Sura An-Najm

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia