Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

An-Najm 53:39 وان ليس للانسان الا ما سعى ٣٩

Ukurasa 527 · Juzuu 27

وَأَن
لَّيۡسَ
لِلۡإِنسَٰنِ
إِلَّا
مَا
سَعَىٰ
٣٩
Na ya kwamba hatapata mtu ila aliyoyafanya mwenyewe?
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Chastising Those Who disobey Allah and stop giving Charity

Allah the Exalted chastises those who turn away from His obedience,

فَلاَ صَدَّقَ وَلاَ صَلَّى - وَلَكِن كَذَّبَ وَتَوَلَّى

(So he (the disbeliever) neither believed nor prayed! But on the contrary, he belied and turned away!) (75:31-32),

وَ

…

Chastising Those Who disobey Allah and stop giving Charity

Allah the Exalted chastises those who turn away from His obedience,

فَلاَ صَدَّقَ وَلاَ صَل

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

33. Je, umemwona yule aliyegeuka akaenda zake? 34. Na akapeana kidogo, kisha akajizuia? 35. Je, anayo huyo elimu ya ghaibu, basi ndiyo anaona? 36. Au hakuambiwa yaliyomo katika Vitabu vya Musa? 37. Na vya Ibrahimu aliyetimiza ahadi? 38. Ya kwamba hakika nafsi iliyobeba madhambi haibebi madhambi ya mwengine? 39. Na ya kwamba hatapata mtu ila aliyoyafanya mwenyewe? 40. Na kwamba vitendo vyake vitaonekana? 41. Kisha ndio atalipwa malipo yake kwa hayo kwa ukamilifu. 42. Na kwamba kwa Mola wako Mlezi ndiyo mwisho. 43. Na kwamba Yeye ndiye anayeleta kicheko na kilio. 44. Na kwamba Yeye ndiye anayefisha na kuhuisha. 45. Na kwamba Yeye ndiye aliyeumba jozi, dume na jike. 46. Kutokana na mbegu ya uzazi inapomiminwa. 47. Na kwamba ni juu yake ufufuo mwengine. 48. Na kwamba ni Yeye ndiye anayetosheleza na kukinaisha. 49. Na kwamba hakika Yeye ndiye Mola Mlezi wa nyota ya Shii'ra. 50. Na kwamba Yeye ndiye aliyewaangamiza 'Adi wa kwanza. 51. Na Thamudi hakuwabakisha. 52. Na kabla yao kaumu ya Nuhu. Na hao hakika walikuwa ni madhalimu zaidi, na waovu zaidi. 53. Na miji iliyopinduliwa, ni Yeye aliyeipindua. 54. Vikaifunika vilivyofunika. 55. Basi neema gani ya Mola wako Mlezi unayoifanyia shaka? 56. Hili ni onyo katika maonyo yale yale ya zamani. 57. Kiyama kimekaribia! 58. Hapana wa kukifichua isipokuwa Mwenyezi Mungu. 59. Je, mnayastaajabia maneno haya? 60. Na mnacheka, wala hamlii? 61. Nanyi mmeghafilika? 62. Basi msujudieni Mwenyezi Mungu, na mumuabudu.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia