Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

An-Najm 53:2 ما ضل صاحبكم وما غوى ٢

Ukurasa 526 · Juzuu 27

مَا
ضَلَّ
صَاحِبُكُمۡ
وَمَا
غَوَىٰ
٢
Mwenzenu huyu hakupotea, wala hakukosea.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Which was revealed in Makkah

The First Surah in which a Prostration is revealed

Al-Bukhari recorded that `Abdullah bin Mas`ud said, "Surat An-Najm was the first Surah in which a prostration was revealed. The Prophet (recited it in Makkah) and prostrated. Those who were with him did the same, except an

…

Which was revealed in Makkah

The First Surah in which a Prostration is revealed

Al-Bukhari recorded that `Abdullah bin Mas`ud said, "Surat An-Najm was t

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

1. Ninaapa kwa nyota inapotua. 2. Mwenzenu huyu hakupotea, wala hakukosea. 3. Wala hatamki kwa matamanio. 4. Hayakuwa haya ila ni ufunuo uliofunuliwa. 5. Amemfundisha aliye Mwingi wa nguvu. 6. Mwenye kutua, akatulia. 7. Naye yuko juu kabisa upeo wa macho. 8. Kisha akakaribia na akateremka. 9. Akawa ni kama baina ya mipinde miwili, au karibu zaidi. 10. Akamfunulia mja wake (Mwenyezi Mungu) alichomfunulia. 11. Ufahamu wa moyo wake haukukanusha uliyoyaona. 12. Je, mnabishana naye kwa aliyoyaona? 13. Na akamwona mara nyingine. 14. Penye Mkunazi wa mwisho. 15. Karibu yake ndiyo ipo Bustani ya mbinguni inayokaliwa. 16. Kilipoufunika huo Mkunazi hicho kilichoufunika. 17. Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka. 18. Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia