Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

78. Sura An-Nabaa

Soma na usikilize Sura An-Nabaa nzima (Sura 78), inayojumuisha aya 40. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 30), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
78:6
الم نجعل الارض مهادا ٦
أَلَمْ نَجْعَلِ ٱلْأَرْضَ مِهَـٰدًۭا ٦
أَلَمۡ
نَجۡعَلِ
ٱلۡأَرۡضَ
مِهَٰدٗا
٦
kaKwani hatukuifanya ardhi ma tandiko? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
78:7
والجبال اوتادا ٧
وَٱلْجِبَالَ أَوْتَادًۭا ٧
وَٱلۡجِبَالَ
أَوۡتَادٗا
٧
kama Na milima vigingi? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
78:8
وخلقناكم ازواجا ٨
وَخَلَقْنَـٰكُمْ أَزْوَٰجًۭا ٨
وَخَلَقۡنَٰكُمۡ
أَزۡوَٰجٗا
٨
Na tukakuumbeni kwa jozi? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
78:9
وجعلنا نومكم سباتا ٩
وَجَعَلْنَا نَوْمَكُمْ سُبَاتًۭا ٩
وَجَعَلۡنَا
نَوۡمَكُمۡ
سُبَاتٗا
٩
Na tukakufanya kulala kwenu ni mapumziko? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
78:10
وجعلنا الليل لباسا ١٠
وَجَعَلْنَا ٱلَّيْلَ لِبَاسًۭا ١٠
وَجَعَلۡنَا
ٱلَّيۡلَ
لِبَاسٗا
١٠
Na tukaufanya usiku ni nguo? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
78:11
وجعلنا النهار معاشا ١١
وَجَعَلْنَا ٱلنَّهَارَ مَعَاشًۭا ١١
وَجَعَلۡنَا
ٱلنَّهَارَ
مَعَاشٗا
١١
Na tukaufanya mchana ni wa kuchumia maisha? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
78:12
وبنينا فوقكم سبعا شدادا ١٢
وَبَنَيْنَا فَوْقَكُمْ سَبْعًۭا شِدَادًۭا ١٢
وَبَنَيۡنَا
فَوۡقَكُمۡ
سَبۡعٗا
شِدَادٗا
١٢
Na tukajenga juu yenu saba zenye nguvu? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
78:13
وجعلنا سراجا وهاجا ١٣
وَجَعَلْنَا سِرَاجًۭا وَهَّاجًۭا ١٣
وَجَعَلۡنَا
سِرَاجٗا
وَهَّاجٗا
١٣
Na tukaifanya taa yenye mwanga na joto; 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
78:14
وانزلنا من المعصرات ماء ثجاجا ١٤
وَأَنزَلْنَا مِنَ ٱلْمُعْصِرَٰتِ مَآءًۭ ثَجَّاجًۭا ١٤
وَأَنزَلۡنَا
مِنَ
ٱلۡمُعۡصِرَٰتِ
مَآءٗ
ثَجَّاجٗا
١٤
Na tukateremsha maji yanayo anguka kwa kasi kutoka mawinguni, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
78:15
لنخرج به حبا ونباتا ١٥
لِّنُخْرِجَ بِهِۦ حَبًّۭا وَنَبَاتًۭا ١٥
لِّنُخۡرِجَ
بِهِۦ
حَبّٗا
وَنَبَاتٗا
١٥
Ili tutoe kwayo nafaka na mimea. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: An-NaziatTafsir ya Sura An-Nabaa

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia