Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

56. Sura Al-Waqiah

Soma na usikilize Sura Al-Waqiah nzima (Sura 56), inayojumuisha aya 96. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 27), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
56:3
خافضة رافعة ٣
خَافِضَةٌۭ رَّافِعَةٌ ٣
خَافِضَةٞ
رَّافِعَةٌ
٣
Literemshalo linyanyualo! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
56:4
اذا رجت الارض رجا ٤
إِذَا رُجَّتِ ٱلْأَرْضُ رَجًّۭا ٤
إِذَا
رُجَّتِ
ٱلۡأَرۡضُ
رَجّٗا
٤
Itakapo tikiswa ardhi kwa mtikiso! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
56:5
وبست الجبال بسا ٥
وَبُسَّتِ ٱلْجِبَالُ بَسًّۭا ٥
وَبُسَّتِ
ٱلۡجِبَالُ
بَسّٗا
٥
Na milima itapo sagwasagwa! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
56:6
فكانت هباء منبثا ٦
فَكَانَتْ هَبَآءًۭ مُّنۢبَثًّۭا ٦
فَكَانَتۡ
هَبَآءٗ
مُّنۢبَثّٗا
٦
Iwe mavumbi yanayo peperushwa! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
56:7
وكنتم ازواجا ثلاثة ٧
وَكُنتُمْ أَزْوَٰجًۭا ثَلَـٰثَةًۭ ٧
وَكُنتُمۡ
أَزۡوَٰجٗا
ثَلَٰثَةٗ
٧
Na nyinyi mtakuwa namna tatu: . 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
56:8
فاصحاب الميمنة ما اصحاب الميمنة ٨
فَأَصْحَـٰبُ ٱلْمَيْمَنَةِ مَآ أَصْحَـٰبُ ٱلْمَيْمَنَةِ ٨
فَأَصۡحَٰبُ
ٱلۡمَيۡمَنَةِ
مَآ
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡمَيۡمَنَةِ
٨
Basi watakuwepo wa kuliani; je, ni wepi wa kuliani? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
56:9
واصحاب المشامة ما اصحاب المشامة ٩
وَأَصْحَـٰبُ ٱلْمَشْـَٔمَةِ مَآ أَصْحَـٰبُ ٱلْمَشْـَٔمَةِ ٩
وَأَصۡحَٰبُ
ٱلۡمَشۡـَٔمَةِ
مَآ
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡمَشۡـَٔمَةِ
٩
Na wa kushotoni; je, ni wepi wa kushotoni? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
56:10
والسابقون السابقون ١٠
وَٱلسَّـٰبِقُونَ ٱلسَّـٰبِقُونَ ١٠
وَٱلسَّٰبِقُونَ
ٱلسَّٰبِقُونَ
١٠
Na wa mbele watakuwa mbele. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
56:11
اولايك المقربون ١١
أُو۟لَـٰٓئِكَ ٱلْمُقَرَّبُونَ ١١
أُوْلَٰٓئِكَ
ٱلۡمُقَرَّبُونَ
١١
Hao ndio watakao karibishwa 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
56:12
في جنات النعيم ١٢
فِى جَنَّـٰتِ ٱلنَّعِيمِ ١٢
فِي
جَنَّٰتِ
ٱلنَّعِيمِ
١٢
Katika Bustani zenye neema. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: Al-HadydTafsir ya Sura Al-Waqiah

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia