Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Waqiah 56:94 وتصلية جحيم ٩٤

Ukurasa 537 · Juzuu 27

وَتَصۡلِيَةُ
جَحِيمٍ
٩٤
Na kutiwa Motoni.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Condition of People at the Time of Their Death

These are the three types of conditions that people face upon their death. Either they are among the near believers or those below their rank on the right, or those who denied the truth, were led astray from the guidance and were ignorant about Allah

…

The Condition of People at the Time of Their Death

These are the three types of conditions that people face upon their death. Either they are among the

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

75. Basi ninaapa kwa maanguko ya nyota. 76. Na hakika bila ya shaka hiki ni kiapo kikubwa, laiti mngelijua! 77. Hakika hii bila ya shaka ni Qur-ani Tukufu. 78. Katika Kitabu kilichohifadhiwa. 79. Hapana akigusaye ila waliotakaswa. 80. Ni uteremsho unaotoka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 81. Ni maneno haya ndiyo nyinyi mnayapuuza? 82. Na badala ya kushukuru kwa riziki yenu mnafanya kuwa mnakadhibisha? 83. Yawaje basi itakapofika roho kwenye koo. 84. Na nyinyi wakati huo mnatazama! 85. Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi, lakini hamuoni. 86. Na lau kuwa nyinyi hamtalipwa. 87. Kwa nini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli? 88. Kwa hivyo, akiwa miongoni mwa wale walio karibu na Mwenyezi Mungu. 89. Basi ni raha, na manukato, na Bustani zenye neema. 90. Na akiwa katika wale wa upande wa kulia. 91. Basi ni Salamu kwako uliye miongoni mwa wale wa upande wa kulia. 92. Na ama akiwa katika wale waliokadhibisha, wapotovu. 93. Basi karamu ya makaribisho yake ni maji yanayochemka. 94. Na kutiwa Motoni. 95. Hakika hii ndiyo haki yenye yakini. 96. Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkuu.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia