Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Waqiah 56:73 نحن جعلناها تذكرة ومتاعا للمقوين ٧٣

Ukurasa 536 · Juzuu 27

نَحۡنُ
جَعَلۡنَٰهَا
تَذۡكِرَةٗ
وَمَتَٰعٗا
لِّلۡمُقۡوِينَ
٧٣
Sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani.
reading-goal:continue-reading

Soma q-and-a.tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Allah's Oneness demonstrated by causing the Plants to grow, sending down the Rain

Allah the Exalted said,

أَفَرَءَيْتُم مَّا تَحْرُثُونَ

(Do you not see what you sow.) in reference to tilling the earth and planting seeds inside it,

أَءَنتُمْ تَزْرَعُونَهُ

(Is it you that make it grow,) `do you cause thes

…

Allah's Oneness demonstrated by causing the Plants to grow, sending down the Rain

Allah the Exalted said,

أَفَرَءَيْتُم مَّا تَحْرُثُونَ

(Do you not see

…
Tazama tafsirs

Soma related-content

57. Sisi tumekuumbeni; basi hamsadiki? 58. Je, mnaiona mbegu ya uzazi mnayoidondokesha? 59. Je, mnaiumba nyinyi, au ni Sisi ndio Waumbaji? 60. Sisi tumekuwekeeni mauti; na wala Sisi hatushindwi. 61. Kuwaleta wengine badala yenu na kukuumbeni nyinyi kwa umbo msilolijua. 62. Na bila ya shaka mlikwisha jua umbo la kwanza, basi kwa nini hamkumbuki? 63. Je, mnaona hivyo mnavyovipanda? 64. Je, ni nyinyi mnayoyaotesha au ni Sisi ndio wenye kuotesha? 65. Tungelitaka, tungeliyafanya yakawa mapepe, mkabaki mnastaajabu. 66. Mkisema: 'Hakika sisi tumegharimika.' 67. Bali sisi tumenyimwa. 68. Je, mnayaona maji mnayoyanywa? 69. Je, ni nyinyi mnaoyateremsha kutoka mawinguni au ni Sisi ndio wenye kuyateremsha? 70. Tungelipenda, tungeliyafanya ya chumvi. Basi mbona hamshukuru? 71. Je, mnauona moto mnaouwasha? 72. Ni nyinyi mliouumba mti wake au Sisi ndio Waumbaji? 73. Sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani. 74. Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkuu.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

reading-goal:continue-reading

Maelezo na Tafakari

reflection-not-available

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia