Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Qiyama 75:7 فاذا برق البصر ٧

Ukurasa 577 · Juzuu 29

فَإِذَا
بَرِقَ
ٱلۡبَصَرُ
٧
Basi jicho litakapodawaa,
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Which was revealed in Makkah

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ

In the Name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful.

The Oath about the Final Return on the Day of Resurrection and the Refutation against the Plots

It has been mentioned previously on more than one occasion that if the thing tha

…

Which was revealed in Makkah

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ

In the Name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful.

The Oath about the Final

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

1. Ninaapa kwa Siku ya Kiyama! 2. Na ninaapa kwa nafsi inayojilaumu! 3. Anadhani mtu kuwa Sisi hatutaikusanya mifupa yake? 4. Kwani! Sisi tunaweza hata kuziweka sawa sawa ncha za vidole vyake! 5. Lakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa siku zilizoko mbele yake. 6. Anauliza: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama? 7. Basi jicho litakapodawaa, 8. Na mwezi utakapopatwa, 9. Na likakusanywa jua na mwezi, 10. Siku hiyo mtu atasema: Yako wapi makimbilio? 11. La! Hapana pa kukimbilia! 12. Siku hiyo pa kutua ni kwa Mola wako Mlezi tu. 13. Siku hiyo ataambiwa aliyoyatanguliza na aliyoyaakhirisha. 14. Bali mtu ni hoja juu ya nafsi yake. 15. Na ingawa atatoa chungu ya udhuru.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia