Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Qamar 54:49 انا كل شيء خلقناه بقدر ٤٩

Ukurasa 530 · Juzuu 27

إِنَّا
كُلَّ
شَيۡءٍ
خَلَقۡنَٰهُ
بِقَدَرٖ
٤٩
Kwa hakika Sisi tumekiumba kila kitu kwa kipimo.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Destination of the Criminals

Allah the Exalted states that the criminals are misguided away from the truth and engulfed in confusion, because of the doubts and uncertainty they are in. This description befits every disbeliever and innovator of all types and forms of sects. Allah the Exalted said,

…

The Destination of the Criminals

Allah the Exalted states that the criminals are misguided away from the truth and engulfed in confusion, because of th

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

41. Na Waonyaji waliwajia watu wa Firauni. 42. Walizikadhibisha Ishara zetu zote, nasi tukawashika mshiko wa Mwenye nguvu, Mwenye uwezo. 43. Je, makafiri wenu ni bora kuliko hao, au yameandikwa vitabuni kuwa nyinyi hamtiwi makosani? 44. Au ndiyo wanasema: 'Sisi ni wengi tutashinda tu.' 45. Wingi wao huu utashindwa, na wao watasukumwa nyuma. 46. Bali Saa ya Kiyama ndiyo miadi yao, na Saa hiyo ni nzito zaidi na chungu zaidi. 47. Hakika wakosefu wamo katika upotovu na wazimu. 48. Siku watakapokokotwa Motoni kifudifudi waambiwe: 'Onjeni mguso wa Saqar!' 49. Kwa hakika Sisi tumekiumba kila kitu kwa kipimo. 50. Na amri yetu haikuwa ila ni moja tu, kama kupepesa jicho. 51. Na bila ya shaka tumekwisha waangamiza wenzenu. Lakini yupo anayekumbuka? 52. Na kila jambo walilolifanya limo vitabuni. 53. Na kila kidogo na kikubwa kimeandikwa. 54. Hakika wacha Mungu watakuwa katika Mabustani na mito. 55. Katika mahali pa kukalia pa haki kwa Mfalme Mwenye uweza.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia